Nini sababu ya kinga ya mwili (Immunity) kuwa chini tofauti na virusi?

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
384
574
Immunity kuwa chini kunasababishwa na nn ukiachana na virus attack?

Na je sign ipi itaonyesha kuwa immunity kuwa chini kunasababishwa na virus attack?
 
Kama ni Virus bhasi kutakuwa na dalili kama Upele hivii ambao unakuwa kama na vimajimaji ndani au mwingine kama tetekuwanga. Lakini pia unaweza pata magonjwa ya kuharisha na udhaifu mwingine wa mwili.

Stress au Msongo wa mawazo pia husababisha Upungufu wa kinga mwilini ambapo hii inaweza isiwe na athari kubwa sana kimwili zinazoonekana lakini pia unaweza pata magonjwa yasababishwayo na Fungus sehemu mbali mbali kama mdomoni hata miguuni. Lakini Pia zipo dawa zinazoathiri na kushusha kinga ya mwili.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Immunity kuwa chini kunasababishwa na nn ukiachana na virus attack
Na je sign ipi itaonyesha kuwa immunity kuwa chini kunasababishwa na virus attack
1. Malnutrition
2. Stress
3. Immunosuppressing Disease e.g Kisulari naturally kinashusha kinga
4.infections kama HIV
5. Steroid drugs(Kuna dawa hushusha kinga)
6. Cancer au Matibabu yake
7. Age (Wazee au watoto)

Baadhi ya causes/Risk factors zina sign ila ulishaona una fall katika hizo categories then hizo ndo indicators zenyewe
 
Kama ni Virus bhasi kutakuwa na dalili kama Upele hivii ambao unakuwa kama na vimajimaji ndani au mwingine kama tetekuwanga. Lakini pia unaweza pata magonjwa ya kuharisha na udhaifu mwingine wa mwili.

Stress au Msongo wa mawazo pia husababisha Upungufu wa kinga mwilini ambapo hii inaweza isiwe na athari kubwa sana kimwili zinazoonekana lakini pia unaweza pata magonjwa yasababishwayo na Fungus sehemu mbali mbali kama mdomoni hata miguuni. Lakini Pia zipo dawa zinazoathiri na kushusha kinga ya mwili.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mkuu umeeleza vema naongezea tu kwa upande was dawa chche nizijuazo zinaoweza kukusababishia tatizo Hilo Ni Utumiaji holela wa madawa yenye sulphur
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom