Sio kila ambayo mtu anatowa umu ndo ya kwake zingine tuna zitowa fb tuPole maana ulianza na makalio kuwa makubwa, sasa hivi nyaa plus damu.. View attachment 2366860
Kmmmmk [emoji23][emoji23][emoji23] watu mnajua ku connect dotsPole maana ulianza na makalio kuwa makubwa, sasa hivi nyaa plus damu.. View attachment 2366860
Jina lake tu Lina majibu yote[emoji23][emoji23]Pole maana ulianza na makalio kuwa makubwa, sasa hivi nyaa plus damu.. View attachment 2366860
Inaonyesha unapata choo kigumu na una maradhi ya bawasiri ya ndani nenda hospitali ukatibiwe usipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguw apole.Leo nilikuwa chooni nikatowa haja kubwa
Ambayo ilikuwa mgumu kutoka niliteseka saana kutowa sasa baada ya kutoka nika cheki kinyesi changu Nikaona damu ambayo ipo kwenye kenyesi haikuwa nyingi ni ndogo ilikuwa kama imejipaka kwenye kinyesi
Nini sababu ya ivo