Uko mkoa gani?Au Kama kuna mwenye ushaurii wa Biashara nzuri kwa mtaji huo wa laki 2
Uko mkoa gani?
Kwa dar inawezekanaNiko DSM
KabisaNjoo tupange kwanza odds, biashara zingine utachelewa
Njoo tupange kwanza odds, biashara zingine utachelewa
Kwa dar inawezekana
Mkeka/betSijui ndio vitu gani hivyo
Mkeka/bet
Kwa wanachuo sasa hivi umechelewa ndgu, vyuo vinafungwa sio mda mrefu na Gen Z wanarudi makwao.
Hiyo target yako ya wanachuo ifanye kuanzia Nov.
Una hiyo platform ya kuuza online kama page au account yenye wateja wa namna hiyo??Nikiuzia online siwezi kupata wavaaji hata wadada ma slay queen [emoji16]
Your gender?Kuna uzi nilileta juu ya maisha yangu kuwa magumu na bila msaada
Sasa kuna kazi nilisema ninafanya sikuiacha niliendelea nayo na nimelipwa pesa yangu ila sina mpango wa kuiacha nataka niendelee nayo huku nafanya Biashara nyinginee
Wakuu hapa nina laki 2 kamili nataka niizungushe kwenye Biashara ya nguo angalau nisikose kabisa pesa ya kula
Nimewaza nifanye Biashara ya mtumba nguo za kike au nguo za watoto wadogo wa kiume
Nguo za kike nazotaka ni zile za fashion za wadada wachuo vigauni vya kichuochuo yaani wateja wangu wawe wanafunzi wa vyuoni ila niifanye kwa njia ya online
Naombeni ushaurii na namna ya kupata soko la kununua hizo nguo kwa bei nzuri
Au Kama kuna mwenye ushaurii wa Biashara nzuri kwa mtaji huo wa laki 2
Una hiyo platform ya kuuza online kama page au account yenye wateja wa namna hiyo??
Mzee tatizo lako unataka kesho tu uanze kula midusko uwe tajiri.
Hizi mambo zinaanza chini kabisa.
Tengeneza jina kwanza.
Kama target yako ni wanachuo ukweli ndo huo ndgu yangu labda ubadili aina ya wateja unaotarget.Sasa si ndio naanza mdogo mdogo wewe sasa unasema nisubiri mpk mwezi November inamaana nisifanye Biashara nikae tu na hiyo hela
Ndio hizo platform mnielekeze
Hapa nilipanga niwe nalipia matangazo fb napost kwenye groups