Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.