Nini mustakabali wa chadema

Nini mustakabali wa chadema

DOGOSA

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo kimetokea kujizolea umaarufu na kujiimarisha kwa kujizolea wanachama wengi na kuongeza idadi ya wabunge mjengoni kuanzia wa kuchaguliwa mpaka wa viti maalumu. Hii inaonekana kuwatia hofu chama tawala hasa walivyo na wbunge wengi vijana. x x x x x Lakini kwa upande mwingine CHADEMA kimekuwa kikitafsiriwa kama chama kilichogubikwa na UKANDA, UDINI na UKABILI iliopindukia huku kikianikizwa kama chama kinachohamasisha uvunjifu wa amani kupitia maandamano na kauli mbalimbali za viongozi wake. x Wana jf naomba mtazamo wenu juu ya mustakabali mzima wa chama hiki kinachoonekana kupata nguvu kubwa hasa kupitia kwa vijana ambao ndo wengi ndani ya nchi hii.
 
Kumbuka CUF iliambiwaje? na sasa ni chama tawala mwenza ZNZ. Kwenye siasa propaganda ni lazima lakini mara nyingi hazina mafanikio ya muda mrefu. Cha msingi ni jinsi gani mnawa prove wrong opponents wenu.
 
huo ni mtizamo wako...lakini kama ulivyosema mwanzo, kina wabunge, wabunge wanatoka maeneo yapi ya TZ, viongozi wake wa kitaifa je, ni wa kutoka dini gani, na makabila gani, hapo utapata jibu la unayouliza juu ya ukanda na udini..kuhusu uvunjifu wa Amani, lini CDM wametumia silaha katika chochote, Ikwiriri ni mfano hai wa karibuni wa uvunjifu wa amani, je ni CDM? Mauwaji ya pemba, je ni CDM , mauwaji migodini, JE NI CDM? Huo uvunjifu wa wa Amani unaofanywa na CDM ni upi....Mi kwa mtazamo wangu, mustakabali wa CHADEMA ni kuchua nchi, na kusweka mafisadi wote mahakani, kutupatia katiba bora, ugawaji haki wa rasilimali..n.k pia utapata
 
Udini,ukanda,ukabila hizo n propaganda za ccm. Wanazirudia rudia kusema wakijaribu ili ifike mahali ionekane ndio ukweli. Kibaya kwao n kua sa hv watanzania hata wa vijjin hawamwamin mtu tena,kabla ya kusema hii ni njano au blue wanataka waione wenyewe kwahiyo hizo kelele hazizimi nguvu ya M4C.
Ukanda wanao CCM kwan vijana wao walishatamka kua rais ajae hatoki kamwe Kaskazin hii ina maana gan kama si ukanda?
M4C unstoppable
 
Unauliza swali wakati unajua kwamba nyie MAGAMBA mmeanza kufunga vilago sasa unazani hatima ya CHADEMA itakuwa ni nini kama sio kuchukua nchi ambayo mmeshindwa kuingoza nyie MAGAMBA?
 
Tazama wabunge wa upendeleo wa chadema utapata jibu, katembelee ofisi za chadema utapata jibu, msikilize Nassari utapata jibu. Marafiki zao wa nje ni CDU, utapata jibu.

Juzi juzi Slaa katoka Vatikan, utapata jibu.
 
hiki chama kimeshajidhihirisha tangu mwanzo katika harakati zake kuwa ni chama cha kanisa,kimefika hapo kwa msaada na mkono wa kanisa na uchaga ndani yake.

kinachotakiwa ni kurekebisha kasoro hiyo badala ya kukana kwani watanzania wanajua na wanaona ukweli huu.
 
kisipoangalia na kujitathmini hakitafikia malengo yake ya kuingia ikulu
 
Angalia orodha hii hapa chini halafu utueleze huo ukanda uko wapi:

ORODHA YA VIONGOZI MAKAO MAKUU YA CHADEMA:

VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 37"] S/N
[/TD]
[TD="width: 168"] JINA LA KIONGOZI
[/TD]
[TD="width: 222"] WADHIFA
[/TD]
[TD="width: 84"] KABILA
[/TD]
[TD="width: 127"] ANAKOTOKA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 1.
[/TD]
[TD="width: 168"] Freeman Aikael Mbowe
[/TD]
[TD="width: 222"] Mwenyekiti Taifa
[/TD]
[TD="width: 84"] Mchaga
[/TD]
[TD="width: 127"] Hai - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 2.
[/TD]
[TD="width: 168"] Said Arfi
[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mwenyekiti (T) Bara
[/TD]
[TD="width: 84"] Mfipa
[/TD]
[TD="width: 127"] Mpanda - Rukwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 3.
[/TD]
[TD="width: 168"] Issa Said Mohamed
[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mwenyekiti (T) Visiwani
[/TD]
[TD="width: 84"] Mpemba
[/TD]
[TD="width: 127"] Pemba - Zanzibar
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 4.
[/TD]
[TD="width: 168"] Willibrod Peter Slaa
[/TD]
[TD="width: 222"] Katibu mkuu Taifa
[/TD]
[TD="width: 84"] Muirak
[/TD]
[TD="width: 127"] Karatu - Arusha
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 5.
[/TD]
[TD="width: 168"] Zitto Zuberi Kabwe
[/TD]
[TD="width: 222"] Naibu Katibu Mkuu (T) Bara
[/TD]
[TD="width: 84"] Muha
[/TD]
[TD="width: 127"] Kigoma Ujiji - Kigoma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 6.
[/TD]
[TD="width: 168"] Hamad Mussa Yusuph
[/TD]
[TD="width: 222"] Naibu Katibu MKuu (T) Visiwani
[/TD]
[TD="width: 84"] Mpemba
[/TD]
[TD="width: 127"] Pemba - Zanzibar
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 7.
[/TD]
[TD="width: 168"] John Heche
[/TD]
[TD="width: 222"] Mwenyekiti BAVICHA Taifa
[/TD]
[TD="width: 84"] Mkurya
[/TD]
[TD="width: 127"] Tarime – Mara
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 8.
[/TD]
[TD="width: 168"] Sharifa Suleiman
[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mkt BAVICHA – Visiwani
[/TD]
[TD="width: 84"] Mzanzibari
[/TD]
[TD="width: 127"] Unguja – Zanzibar
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 9.
[/TD]
[TD="width: 168"] Juliana Shonza
[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mkt BAVICHA – Bara
[/TD]
[TD="width: 84"]
[/TD]
[TD="width: 127"] Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 10.
[/TD]
[TD="width: 168"] Suzan Lyimo
[/TD]
[TD="width: 222"] Kaimu Mwenyekiti BAWACHA (T)
[/TD]
[TD="width: 84"] Mchaga
[/TD]
[TD="width: 127"] Moshi – Kilimanjar
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 11.
[/TD]
[TD="width: 168"] Nyangaki Shilungushela
[/TD]
[TD="width: 222"] Mwenyekiti WAZEE Taifa
[/TD]
[TD="width: 84"] Msukuma
[/TD]
[TD="width: 127"] Shinyanga
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

WAKURUGENZI WA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU YA CHAMA WANAOMSAIDIA KATIBU MKUU:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 37"] S/N
[/TD]
[TD="width: 150"] JINA LA MKURUGENZI
[/TD]
[TD="width: 228"] KURUGENZI ANAYOONGOZA
[/TD]
[TD="width: 88"] KABILA
[/TD]
[TD="width: 135"] ANAKOTOKA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 12
[/TD]
[TD="width: 150"] Anthony Komu
[/TD]
[TD="width: 228"] Fedha na Utawala
[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga
[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi vijijini - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 13
[/TD]
[TD="width: 150"] Benson Kigaila
[/TD]
[TD="width: 228"] Organisation na Mafunzo
[/TD]
[TD="width: 88"] Mgogo
[/TD]
[TD="width: 135"] Kibakwe - Dodoma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 14
[/TD]
[TD="width: 150"] Msafiri Mtemelwa
[/TD]
[TD="width: 228"] Kampeni na Uchaguzi
[/TD]
[TD="width: 88"] Mzaramo
[/TD]
[TD="width: 135"] Mkuranga - Pwani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 15
[/TD]
[TD="width: 150"] John Mrema
[/TD]
[TD="width: 228"] Bunge na Halmashauri
[/TD]
[TD="width: 88"] mchaga
[/TD]
[TD="width: 135"] Vunjo - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 16
[/TD]
[TD="width: 150"] Ezekiah Wenje
[/TD]
[TD="width: 228"] Mambo ya Nje
[/TD]
[TD="width: 88"] Mjaluo
[/TD]
[TD="width: 135"] Tarime - Mara
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 17
[/TD]
[TD="width: 150"] John Mnyika
[/TD]
[TD="width: 228"] Habari na Uenezi
[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma
[/TD]
[TD="width: 135"] Misungwi - Mwanza
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 18
[/TD]
[TD="width: 150"] Tundu Lissu
[/TD]
[TD="width: 228"] Sheria na Haki za Binadamu
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyanturu
[/TD]
[TD="width: 135"] Ikungi - Singida
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 19
[/TD]
[TD="width: 150"] Wilfred Lwakatare
[/TD]
[TD="width: 228"] Ulinzi na Usalama
[/TD]
[TD="width: 88"] Mhaya
[/TD]
[TD="width: 135"] Bukoba - Kagera
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 20
[/TD]
[TD="width: 150"] Deogratias Munisi
[/TD]
[TD="width: 228"] Katibu Mkuu BAVICHA
[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga
[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi – Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 21
[/TD]
[TD="width: 150"] Naomi Kaihula
[/TD]
[TD="width: 228"] Katibu Mkuu BAWACHA
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa
[/TD]
[TD="width: 135"] Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 22
[/TD]
[TD="width: 150"] Erasto Shija
[/TD]
[TD="width: 228"] Katibu Mkuu WAZEE
[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma
[/TD]
[TD="width: 135"] Shinyanga
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MAOFISA KATIKA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU WANAOWASAIDIA WAKURUGENZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 37"] S/N
[/TD]
[TD="width: 150"] JNA LA OFISA
[/TD]
[TD="width: 228"] KURUGENZI/WADHIFA WAKE
[/TD]
[TD="width: 88"] KABILA
[/TD]
[TD="width: 135"] MKOA ANAOTOKA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] FEDHA NA UTAWALA
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 22
[/TD]
[TD="width: 150"] Mwalwisi
[/TD]
[TD="width: 228"] Mhasibu Mkuu wa chama
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa
[/TD]
[TD="width: 135"] Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 23
[/TD]
[TD="width: 150"] Jiorojig
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa utawala wa chama
[/TD]
[TD="width: 88"] Mmbulu
[/TD]
[TD="width: 135"] Mbulu - Manyara
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 24
[/TD]
[TD="width: 150"] Zuhura Nkya
[/TD]
[TD="width: 228"] Cashier
[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga
[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 25
[/TD]
[TD="width: 150"] Hawa Mwaifunga
[/TD]
[TD="width: 228"] Cashier
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa
[/TD]
[TD="width: 135"] Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 26
[/TD]
[TD="width: 150"] Edgar Njwaba
[/TD]
[TD="width: 228"] Afisa Matengenezo
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa
[/TD]
[TD="width: 135"] Kyela - Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] ORGANIZATION NA MAFUNZO
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 27
[/TD]
[TD="width: 150"] Hajateuliwa mwingine
[/TD]
[TD="width: 228"] Baada ya kifo cha Regia Mtema
[/TD]
[TD="width: 88"] Aliyekuwa
[/TD]
[TD="width: 135"] Anatoka Morogoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] HABARI NA UENEZI
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 28
[/TD]
[TD="width: 150"] Erasto Tumbo
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa Mwandamizi – Uenezi
[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma
[/TD]
[TD="width: 135"] Kisesa - Shinyanga
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 29
[/TD]
[TD="width: 150"] Tumaini Makene
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Habari
[/TD]
[TD="width: 88"] Mkerewe
[/TD]
[TD="width: 135"] Ukerewe - Mwanza
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 30
[/TD]
[TD="width: 150"] Benson Mramba
[/TD]
[TD="width: 228"] Mkuu wa CHADEMA TV
[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga
[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 31
[/TD]
[TD="width: 150"] Neema Kishebuka
[/TD]
[TD="width: 228"] Mwandishi – CHADEMA TV
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"] Morogoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 32
[/TD]
[TD="width: 150"] John Tendwa
[/TD]
[TD="width: 228"] Storekeeper
[/TD]
[TD="width: 88"] Mpare
[/TD]
[TD="width: 135"] Same - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 33
[/TD]
[TD="width: 150"] Esther Daffi
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Sheria
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyanturu
[/TD]
[TD="width: 135"] Singida
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 34
[/TD]
[TD="width: 150"] J. Mndeme
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Sheria
[/TD]
[TD="width: 88"] Mpare
[/TD]
[TD="width: 135"] Same - Kilimanjaro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] BUNGE NA HALMASHAURI
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 35
[/TD]
[TD="width: 150"] Mwita Waitara
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Sera na Utafiti
[/TD]
[TD="width: 88"] Mkurya
[/TD]
[TD="width: 135"] Tarime - Mara
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] KAMPENI NA UCHAGUZI
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 36
[/TD]
[TD="width: 150"] Suzan Kiwanga
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa kampeni na uchaguzi
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"] Kilombero - Morogoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] ULINZI NA USALAMA
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 37
[/TD]
[TD="width: 150"] Hemed Sabula
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Ulinzi na Usalama
[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma
[/TD]
[TD="width: 135"] Mwanza
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] MAMBO YA NJE
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 38
[/TD]
[TD="width: 150"] Leticia Nyerere
[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Mambo ya Nje
[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma
[/TD]
[TD="width: 135"] Kwimba - Mwanza
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"]
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"]
[/TD]
[TD="width: 228"] MABARAZA YA CHAMA
[/TD]
[TD="width: 88"]
[/TD]
[TD="width: 135"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 39
[/TD]
[TD="width: 150"] Subira Waziri
[/TD]
[TD="width: 228"] Naibu Katibu mkuu BAWACHA
[/TD]
[TD="width: 88"] Mhaya
[/TD]
[TD="width: 135"] Bukoba – Kagera
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"]
[/TD]
[TD="width: 150"] Esther Daffi
[/TD]
[TD="width: 228"] Naibu Katibu mkuu BAVICHA
[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyanturu
[/TD]
[TD="width: 135"] Singida
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


JUMLA WATU WOTE – 39
JUMLA YA WACHAGA – 7
ASILIMIA YA WACHAGA – 7/39 X 100% = 17.95%
 
ni kuchuka nchi 2015 kwa msaada wako na wangu pia orodha yako maskin mkulima itamaliza ubishi
 
mkuu umefunga watu midomo,shukrani sana kwa ufafanuzi huu muhimu.
 
Kwenye hiyo orodha no 10 ndo sijaelewa tayari kuna manaibu wa Bara na Visiwani huyo tena wa nini.Ni mtizamo wangu tu lakini
 
Angalia orodha hii hapa chini halafu utueleze huo ukanda uko wapi:

ORODHA YA VIONGOZI MAKAO MAKUU YA CHADEMA:

VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] S/N[/TD]
[TD="width: 168"] JINA LA KIONGOZI[/TD]
[TD="width: 222"] WADHIFA[/TD]
[TD="width: 84"] KABILA [/TD]
[TD="width: 127"] ANAKOTOKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 1.[/TD]
[TD="width: 168"] Freeman Aikael Mbowe[/TD]
[TD="width: 222"] Mwenyekiti Taifa[/TD]
[TD="width: 84"] Mchaga [/TD]
[TD="width: 127"] Hai - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 2.[/TD]
[TD="width: 168"] Said Arfi[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mwenyekiti (T) Bara[/TD]
[TD="width: 84"] Mfipa[/TD]
[TD="width: 127"] Mpanda - Rukwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 3.[/TD]
[TD="width: 168"] Issa Said Mohamed[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mwenyekiti (T) Visiwani[/TD]
[TD="width: 84"] Mpemba[/TD]
[TD="width: 127"] Pemba - Zanzibar[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 4.[/TD]
[TD="width: 168"] Willibrod Peter Slaa[/TD]
[TD="width: 222"] Katibu mkuu Taifa[/TD]
[TD="width: 84"] Muirak[/TD]
[TD="width: 127"] Karatu - Arusha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 5.[/TD]
[TD="width: 168"] Zitto Zuberi Kabwe[/TD]
[TD="width: 222"] Naibu Katibu Mkuu (T) Bara[/TD]
[TD="width: 84"] Muha[/TD]
[TD="width: 127"] Kigoma Ujiji - Kigoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 6.[/TD]
[TD="width: 168"] Hamad Mussa Yusuph[/TD]
[TD="width: 222"] Naibu Katibu MKuu (T) Visiwani[/TD]
[TD="width: 84"] Mpemba[/TD]
[TD="width: 127"] Pemba - Zanzibar[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 7.[/TD]
[TD="width: 168"] John Heche[/TD]
[TD="width: 222"] Mwenyekiti BAVICHA Taifa[/TD]
[TD="width: 84"] Mkurya[/TD]
[TD="width: 127"] Tarime – Mara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 8.[/TD]
[TD="width: 168"] Sharifa Suleiman[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mkt BAVICHA – Visiwani[/TD]
[TD="width: 84"] Mzanzibari[/TD]
[TD="width: 127"] Unguja – Zanzibar[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 9.[/TD]
[TD="width: 168"] Juliana Shonza[/TD]
[TD="width: 222"] Makamu Mkt BAVICHA – Bara[/TD]
[TD="width: 84"][/TD]
[TD="width: 127"] Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 10.[/TD]
[TD="width: 168"] Suzan Lyimo[/TD]
[TD="width: 222"] Kaimu Mwenyekiti BAWACHA (T)[/TD]
[TD="width: 84"] Mchaga[/TD]
[TD="width: 127"] Moshi – Kilimanjar[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 11.[/TD]
[TD="width: 168"] Nyangaki Shilungushela[/TD]
[TD="width: 222"] Mwenyekiti WAZEE Taifa[/TD]
[TD="width: 84"] Msukuma[/TD]
[TD="width: 127"] Shinyanga[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

WAKURUGENZI WA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU YA CHAMA WANAOMSAIDIA KATIBU MKUU:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] S/N[/TD]
[TD="width: 150"] JINA LA MKURUGENZI[/TD]
[TD="width: 228"] KURUGENZI ANAYOONGOZA[/TD]
[TD="width: 88"] KABILA [/TD]
[TD="width: 135"] ANAKOTOKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 12[/TD]
[TD="width: 150"] Anthony Komu[/TD]
[TD="width: 228"] Fedha na Utawala[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga [/TD]
[TD="width: 135"] Moshi vijijini - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 13[/TD]
[TD="width: 150"] Benson Kigaila[/TD]
[TD="width: 228"] Organisation na Mafunzo[/TD]
[TD="width: 88"] Mgogo[/TD]
[TD="width: 135"] Kibakwe - Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 14[/TD]
[TD="width: 150"] Msafiri Mtemelwa[/TD]
[TD="width: 228"] Kampeni na Uchaguzi[/TD]
[TD="width: 88"] Mzaramo[/TD]
[TD="width: 135"] Mkuranga - Pwani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 15[/TD]
[TD="width: 150"] John Mrema[/TD]
[TD="width: 228"] Bunge na Halmashauri[/TD]
[TD="width: 88"] mchaga[/TD]
[TD="width: 135"] Vunjo - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 16[/TD]
[TD="width: 150"] Ezekiah Wenje[/TD]
[TD="width: 228"] Mambo ya Nje[/TD]
[TD="width: 88"] Mjaluo[/TD]
[TD="width: 135"] Tarime - Mara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 17[/TD]
[TD="width: 150"] John Mnyika[/TD]
[TD="width: 228"] Habari na Uenezi[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma[/TD]
[TD="width: 135"] Misungwi - Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 18[/TD]
[TD="width: 150"] Tundu Lissu[/TD]
[TD="width: 228"] Sheria na Haki za Binadamu[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyanturu[/TD]
[TD="width: 135"] Ikungi - Singida[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 19[/TD]
[TD="width: 150"] Wilfred Lwakatare[/TD]
[TD="width: 228"] Ulinzi na Usalama[/TD]
[TD="width: 88"] Mhaya[/TD]
[TD="width: 135"] Bukoba - Kagera [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 20[/TD]
[TD="width: 150"] Deogratias Munisi[/TD]
[TD="width: 228"] Katibu Mkuu BAVICHA[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi – Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 21[/TD]
[TD="width: 150"] Naomi Kaihula[/TD]
[TD="width: 228"] Katibu Mkuu BAWACHA[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa[/TD]
[TD="width: 135"] Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 22[/TD]
[TD="width: 150"] Erasto Shija[/TD]
[TD="width: 228"] Katibu Mkuu WAZEE[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma[/TD]
[TD="width: 135"] Shinyanga[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MAOFISA KATIKA KURUGENZI ZA CHAMA MAKAO MAKUU WANAOWASAIDIA WAKURUGENZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] S/N[/TD]
[TD="width: 150"] JNA LA OFISA[/TD]
[TD="width: 228"] KURUGENZI/WADHIFA WAKE[/TD]
[TD="width: 88"] KABILA [/TD]
[TD="width: 135"] MKOA ANAOTOKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] FEDHA NA UTAWALA[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 22[/TD]
[TD="width: 150"] Mwalwisi[/TD]
[TD="width: 228"] Mhasibu Mkuu wa chama[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa[/TD]
[TD="width: 135"] Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 23[/TD]
[TD="width: 150"] Jiorojig[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa utawala wa chama[/TD]
[TD="width: 88"] Mmbulu[/TD]
[TD="width: 135"] Mbulu - Manyara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 24[/TD]
[TD="width: 150"] Zuhura Nkya[/TD]
[TD="width: 228"] Cashier[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 25[/TD]
[TD="width: 150"] Hawa Mwaifunga[/TD]
[TD="width: 228"] Cashier[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa[/TD]
[TD="width: 135"] Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 26[/TD]
[TD="width: 150"] Edgar Njwaba[/TD]
[TD="width: 228"] Afisa Matengenezo[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyakyusa[/TD]
[TD="width: 135"] Kyela - Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] ORGANIZATION NA MAFUNZO[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 27[/TD]
[TD="width: 150"] Hajateuliwa mwingine[/TD]
[TD="width: 228"] Baada ya kifo cha Regia Mtema[/TD]
[TD="width: 88"] Aliyekuwa[/TD]
[TD="width: 135"] Anatoka Morogoro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] HABARI NA UENEZI[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 28[/TD]
[TD="width: 150"] Erasto Tumbo[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa Mwandamizi – Uenezi[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma[/TD]
[TD="width: 135"] Kisesa - Shinyanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 29[/TD]
[TD="width: 150"] Tumaini Makene[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Habari[/TD]
[TD="width: 88"] Mkerewe[/TD]
[TD="width: 135"] Ukerewe - Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 30[/TD]
[TD="width: 150"] Benson Mramba[/TD]
[TD="width: 228"] Mkuu wa CHADEMA TV[/TD]
[TD="width: 88"] Mchaga[/TD]
[TD="width: 135"] Moshi - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 31[/TD]
[TD="width: 150"] Neema Kishebuka[/TD]
[TD="width: 228"] Mwandishi – CHADEMA TV[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"] Morogoro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 32[/TD]
[TD="width: 150"] John Tendwa[/TD]
[TD="width: 228"] Storekeeper[/TD]
[TD="width: 88"] Mpare[/TD]
[TD="width: 135"] Same - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 33[/TD]
[TD="width: 150"] Esther Daffi[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Sheria[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyanturu[/TD]
[TD="width: 135"] Singida[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 34[/TD]
[TD="width: 150"] J. Mndeme[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Sheria[/TD]
[TD="width: 88"] Mpare[/TD]
[TD="width: 135"] Same - Kilimanjaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] BUNGE NA HALMASHAURI[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 35[/TD]
[TD="width: 150"] Mwita Waitara[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Sera na Utafiti[/TD]
[TD="width: 88"] Mkurya[/TD]
[TD="width: 135"] Tarime - Mara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] KAMPENI NA UCHAGUZI[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 36[/TD]
[TD="width: 150"] Suzan Kiwanga[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa kampeni na uchaguzi[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"] Kilombero - Morogoro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] ULINZI NA USALAMA[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 37[/TD]
[TD="width: 150"] Hemed Sabula[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Ulinzi na Usalama[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma[/TD]
[TD="width: 135"] Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] MAMBO YA NJE[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 38[/TD]
[TD="width: 150"] Leticia Nyerere[/TD]
[TD="width: 228"] Ofisa wa Mambo ya Nje[/TD]
[TD="width: 88"] Msukuma[/TD]
[TD="width: 135"] Kwimba - Mwanza[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"][/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"][/TD]
[TD="width: 228"] MABARAZA YA CHAMA[/TD]
[TD="width: 88"][/TD]
[TD="width: 135"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"] 39[/TD]
[TD="width: 150"] Subira Waziri[/TD]
[TD="width: 228"] Naibu Katibu mkuu BAWACHA[/TD]
[TD="width: 88"] Mhaya[/TD]
[TD="width: 135"] Bukoba – Kagera[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 37"][/TD]
[TD="width: 150"] Esther Daffi[/TD]
[TD="width: 228"] Naibu Katibu mkuu BAVICHA[/TD]
[TD="width: 88"] Mnyanturu[/TD]
[TD="width: 135"] Singida[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


JUMLA WATU WOTE – 39
JUMLA YA WACHAGA – 7
ASILIMIA YA WACHAGA – 7/39 X 100% = 17.95%

labda wanataka kuona wakwere
 
Back
Top Bottom