After several unsuccesful attempts to contact one jf member through his disclosed webmail address from thread moja regarding ujenzi and its costs in dar, ilibidi nijiunge ili nimuulize kulikoni and/or where he can be reached
PS Jamaa had given an insightful outlook on the said topic, ila sijui kwanini akatoa an email and a website that were non functional
Mimi nilijiunga na jamii forum cause it is the only place naweza pata breaking news za uhakika na pia kuelimishwa katika maeneo mbalimbali kama ujasiriamali afya na mengineyoOut of topic please naomba mnikumbushe namna ya kutoa cash mchango jamii forum nimepoteza simu na namba niyokuwa naijua ya kuchangia huku
Mimi nafikiri niliweka malengo ya kujiunga na JF kitambo kidogo (Invisible kama ha-mind anaweza kutukumbusha) lakini napenda kutoa mchango wangu kwa kila mtu. Unajua tena kuelimishana na kukosoana ni kitu cha kawaida.
Mi nilikuwa nachungulia kama mgeni mwaka 2009, 2010 nikajiunga baada ya kuona majina ya member yaliyonifurahisha nayo ni susuviri,mseseve,mandenyi,asprin.mi nikaingia kwa jina la ndokororo nikashau paswwd ndio nikaingia na hii acnnt
mimi nilikua kama guest hasa wakati wa migomo UDSM kipindi kile 2008 kupata updates..na hasa nilipata hii web through mwanahalisi katika makala za mwanakijiji i think mwisho wa makala zake anaandika his email address..so i was wondering the web name(jamiiforums.com) so i joined na kula ban on spot kipindi kile 2009.so mwanakijiji alinileta humu katika mapambano.