simple boy
New Member
- Jun 30, 2011
- 2
- 0
wabongo ndio walivyo hasa huko kusini wao mshangao ni jadi mengine yatafuatia
Hata mi nilitakam kuuliza hivyohivyoEpic nation ni nini? Me hii huduma hata siielewi..
leo epic nation ilikuwa mjini mtwara ambapo wamehudhulia wananchi kupita kawaida kuliko hata raisi akija watu huwa hawajai kwa kiasi nilichoshuhudia leo na nia yao kubwa me sijaiona zaidi ya kupoteza muda wa wanachi kwa kuwaangalia wanavyorukaruka sasa wana-jf nisaidieni malengo makubwa kama ni kuongeza idadi katika mtandao wao mbona muda mwingi ni mziki kwa kwenda mbele?
na yule alokamatwa na bangi tani moja yupo huko?
epic nation ni huduma au promotion kutoka zantel ambapo mteja wake anapata sms 300 na free 15 minutes, 50mb za internet n.k
eehh! Nan tena uyo jaman?
Ahaa, kwa hiyo internet ya Zantel inapatikana Mtwara? duh!