Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,717 Reaction score 11,331 Jun 20, 2017 #41 ipogolo said: Mmesikia FA itaanza kuchezwa dakika 60 badala ya 90? Click to expand... Hapo Sasa watakuwa wanawapunja walipa viingilio kwenye mpira
ipogolo said: Mmesikia FA itaanza kuchezwa dakika 60 badala ya 90? Click to expand... Hapo Sasa watakuwa wanawapunja walipa viingilio kwenye mpira
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,520 Reaction score 6,920 Jun 20, 2017 #42 Ni nzuri sana mambo ya ubabaishaji kushney
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,316 Reaction score 103,577 Jun 20, 2017 #43 The beauty of the game will soon be over
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,614 Jun 20, 2017 #44 Super Sub Steve said: Magoli ya mkono yanauma Bora teknolojia imekuja kukata mzizi wa fitina Click to expand... hata yale ya offside pia
Super Sub Steve said: Magoli ya mkono yanauma Bora teknolojia imekuja kukata mzizi wa fitina Click to expand... hata yale ya offside pia
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,279 Reaction score 5,989 Jun 21, 2017 #45 Super Sub Steve said: Hapo Sasa watakuwa wanawapunja walipa viingilio kwenye mpira Click to expand... Kasi ya mchezo itaongezeka. Na iko siku mapumziko yatakuwa manne. DKK 15 mapumziko.
Super Sub Steve said: Hapo Sasa watakuwa wanawapunja walipa viingilio kwenye mpira Click to expand... Kasi ya mchezo itaongezeka. Na iko siku mapumziko yatakuwa manne. DKK 15 mapumziko.
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,279 Reaction score 5,989 Jun 21, 2017 #46 chandy saad said: mpira wa miguu ni mchezo wenye amsha amsha na unapendeza kuwa ivo so hio tekn inhrb mvuto wa football Click to expand... Umesema kweli.Raha ya mpira ni pamoja na matukio yenye utata.
chandy saad said: mpira wa miguu ni mchezo wenye amsha amsha na unapendeza kuwa ivo so hio tekn inhrb mvuto wa football Click to expand... Umesema kweli.Raha ya mpira ni pamoja na matukio yenye utata.
shadownet Senior Member Joined Aug 4, 2015 Posts 133 Reaction score 678 Jun 21, 2017 #47 Madrdi kazi wanayo ....wazee wa kuibia
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jun 21, 2017 #48 Unafunga goli, unasubiri maamuzi kwanza ndo unashangilia!
R Rubuye123 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,379 Reaction score 1,947 Jun 22, 2017 #49 ni ongezeko la kipuuzi kabisa katika mchezo huu maridhawa.ladha ya mpira inaondoka,football now inasimama mara nyingi kama Bball tu wakati muda wake wa kuchezwa ni mrefu.Btw,mpira raha yake ile 'sintofahamu' bana!
ni ongezeko la kipuuzi kabisa katika mchezo huu maridhawa.ladha ya mpira inaondoka,football now inasimama mara nyingi kama Bball tu wakati muda wake wa kuchezwa ni mrefu.Btw,mpira raha yake ile 'sintofahamu' bana!
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,717 Reaction score 11,331 Jun 25, 2017 #50 Raimundo said: Unafunga goli, unasubiri maamuzi kwanza ndo unashangilia! Click to expand... Ukishafunga we Shangilia kwa juhudi zote,ila kama la Magumashi ndo inabidi uwe Na mashaka mashaka
Raimundo said: Unafunga goli, unasubiri maamuzi kwanza ndo unashangilia! Click to expand... Ukishafunga we Shangilia kwa juhudi zote,ila kama la Magumashi ndo inabidi uwe Na mashaka mashaka
kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,905 Jun 25, 2017 #51 Waachane kabisa na huo upuuzi, soka ni game la makosa