MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Huoni kama kuna binadamu wengine wamelazimishwa kufanya jambo ambalo kama wangeulizwa kama sharti kabla ya kuumbwa wangekataa kuumbwa binadamu.Mwanadamu ameumbwa na Mungu ili Kumwabudu na kutii amri zake.
Kumbe amri za Mungu za kumtii yeye tu zinaweza kupingwa na mwanadamu, mbona sasa waovu ni wengi kuliko wema, ina maana Shetani ana nguvu kuliko Mungu?Mwanadamu ameumbwa na Mungu ili Kumwabudu na kutii amri zake.
Hapo pia kwa upande mwingine inabidi ujiulize kwa nini umekuja duniani bila mapenzi yako? Je ni nani amekuleta? Kama jibu litakuwa Mungu ndio kakuleta basi lazima umtumikie yeye na kutii amri zake. Kama unaamini evulution, basi jiulize kwa nini hiyo evulution imesimama isiendelee? Sababu viumbe vilibadilika mpaka akatokea binadamu wanavyo sema, lakini binadamu hajaendelea kubadilika na kuwa kiumbe kingine japo anapambana na hali ngumu.Huoni kama kuna binadamu wengine wamelazimishwa kufanya jambo ambalo kama wangeulizwa kama sharti kabla ya kuumbwa wangekataa kuumbwa binadamu.
Huoni kama hawakutendewa haki na Muumba?
Kwanza kabisa dhana ya maamuzi iko katika hali ya utambuzi, utambuzi upo katika uwepo( essence), hivyo uwepo wa mwanadam ni sheria asilia (law of nature) ambayo ni sawa na kusema ni Mungu (supreme being) hivyo mwanadam hana uchaguzi wowote juu ya uwepo wake, pia asili imeweka ukomo wa uhuru wa mwanadam ambao humuweka katika maono ya utumwa, hata hivyo mwanadam akikiuka ukomo huu hujikuta katika matatizo.Huoni kama kuna binadamu wengine wamelazimishwa kufanya jambo ambalo kama wangeulizwa kama sharti kabla ya kuumbwa wangekataa kuumbwa binadamu.
Huoni kama hawakutendewa haki na Muumba?
Hoja na maswali yangu yanafanana na comment ya #4Tumeumbwa ili tumuabudu Allah sw, ndo lengo kuu kwa mujibu wa Qur'an
La hasha si kwamba ibilisi ana nguvu kuliko Mungu, kumbuka mwanadam ana asili ya matamanio, matamanio hayo yaliyo mengi yameegemea katika uovu ambao Mungu haupendi, shetani hutumia mwanya wa tamaa za mwanadam ili kumshawishi aende kinyume na Mungu, pia Mungu ameonyesha upendo kwa binadam ili watende wapendavyo ili kila matendo ayalipe kwa kadri yake, kama ni uovu atamlipa aliyeutenda, pia kama ni wema atamlipa kwa kipimo chake.Kumbe amri za Mungu za kumtii yeye tu zinaweza kupingwa na mwanadamu, mbona sasa waovu ni wengi kuliko wema, ina maana Shetani ana nguvu kuliko Mungu?
Mimi sina tatizo kuhusu binadamu ameumbwa na nani, tatizo langu ni ridhaa kwa yule aliyeumbwa kutoka kwa muumbaji na dhumuni lake ni nini kumuumba bila ridhaa yake.Kumbe amri za Mungu za kumtii yeye tu zinaweza kupingwa na mwanadamu,
Hapa hatuwezi kufahamu kama watenda maovu ni wengi kuliko wema labda kama kuna utafiti ambao umefanyika.mbona sasa waovu ni wengi kuliko wema, ina maana Shetani ana nguvu kuliko Mungu?
Nimejikuta nipo duniani na katika nazingira hayo nimejikuta najiuliza, dhumuni la kuletwa hapa duniani bila kuulizwa nini?Hapo pia kwa upande mwingine inabidi ujiulize kwa nini umekuja duniani bila mapenzi yako?
kwa nini nitakiwa nimtumikie yeye wakati hakunipa nafasi ya kuchagua kabla hajanileta duniani.Je ni nani amekuleta? Kama jibu litakuwa Mungu ndio kakuleta basi lazima umtumikie yeye na kutii amri zake.
Kusimama au kuendelea kwa evolution siyo msingi wa hoja yangu, ninachotaka kufahamu kwa nini evolution haikutoa/haitoi nafasi ya kuchagua kabla ya kama ninapenda kuwa katika umbo la binadamu au laKama unaamini evulution, basi jiulize kwa nini hiyo evulution imesimama isiendelee? Sababu viumbe vilibadilika mpaka akatokea binadamu wanavyo sema, lakini binadamu hajaendelea kubadilika na kuwa kiumbe kingine japo anapambana na hali ngumu.
mwanadamu kumuabudu mungu kuna faida gani kwa mungu..?Mwanadamu ameumbwa na Mungu ili Kumwabudu na kutii amri zake.
Ndugu MsemajiUkweli kupata majibu ya maswali yako ni ngumu sana, sababu ya kwanza ni kuwa huna kumbukumbu yoyote kama ulikuwa sehemu ukajikuta upo dunia katika umbo la kibinadamu bali umepata akili ukajikuta upo hivyo. Pia hayo mambo yote unayo hoji huku ya jua, bali ni baada ya kusimuliwa na hapo ndio ukajenga hayo maswali. Jaribu kufikiria kama ungezaliwa na kuwekwa duniani peke yako pengine usinge kuwa tofauti na wanyama, ungekisia tu hiki kitu kinaweza kunidhuru na kikinidhuru kita tokea nini sana sana maumivu. Ungejua kuwa pia kuna kifo? hatujui, au ukifa hurudi tena? hatujui. Sababu tunao ogapa kifo ni sisi tunao ishi, walio kufa hawajui hilo tena. Na kwa nini tunaogopa? Sababu tunajua ukifa hurudi tena. Nini kinaendelea ukifa, hapa ndio sasa tunapata habari za uwepo wa Mungu. Je tuamini kuwa Mungu yupo? hapo ndipo shida inakuja. Lakini kwa upande wako unaamini yupo, ndio maana unauliza kwa nini hukupata nafasi ya kuchagua uwe katika umbo gani? Nani huyo angekupa nafasi ya kuchagua? Kama yeye alikuchagulia basi anakusudi na wewe? Sawa na rais anapoteua mawaziri sababu hawapi muda wa kuchagua wizara, lakini kwa kuwa wanaamini wameteuliwa na mamlaka iliyo juu yao mara moja wanaukubali uteuzi huo na kuanza kuutumikia.Nimejikuta nipo duniani na katika nazingira hayo nimejikuta najiuliza, dhumuni la kuletwa hapa duniani bila kuulizwa nini?
kwa nini nitakiwa nimtumikie yeye wakati hakunipa nafasi ya kuchagua kabla hajanileta duniani.
Kusimama au kuendelea kwa evolution siyo msingi wa hoja yangu, ninachotaka kufahamu kwa nini evolution haikutoa/haitoi nafasi ya kuchagua kabla ya kama ninapenda kuwa katika umbo la binadamu au la
Siwezi kuvisaidia viumbe vingine kuhoji kwa sababu sifahamu makubaliano yake na Muumba wao.Kuhoji madhumuni ya mwanadamu inabidi kwanza kuhoji uumbaji kwa ujumla na kila kitu kilichomo
Labda ungetwambia wewe kwa nini uko duniani!Mimi sina tatizo kuhusu binadamu ameumbwa na nani, tatizo langu ni ridhaa kwa yule aliyeumbwa kutoka kwa muumbaji na dhumuni lake ni nini kumuumba bila ridhaa yake.
Hapa hatuwezi kufahamu kama watenda maovu ni wengi kuliko wema labda kama kuna utafiti ambao umefanyika.