mfetere
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 246
- 88
Huko ni kwenda kuharibu akili hiyo kitu sio poa kabisa mkuu
Last edited by a moderator:
Huko ni kwenda kuharibu akili hiyo kitu sio poa kabisa mkuu
Wenye akili ndogo wakivuta wanaishia kuwa(Samahani kwa rais wa Mateja najua ni kazi tu)
Ila wenye akili kubwa kubwa wakivuta hii kitu wanaishia kuwa kama kaka mkubwa hapa
Au ndugu yake wa Uruguay aliyeamua kuifanya kiinua uchumi
sijui sana sideeffect,but vipi mkuu unatumiaa???Ningependa kufaham effects za weed kama drug nyngne na how it affects the brain. Cn someone smoke it without experiencing any side èffects?
weed iko fasta sana katika kukufanya uchanganyikiwe...
wengine wanasema inachangamsha.. kumbe ndio unachanganyikiwa interms of kuchangamka!
imagine, mwanadamu wa kawaida kulima masaa 12 mfululizo, ni kitu ambacho hakiwezekani..
lakini ukipiga weed, unapata mzuka wa kufanya kazi to the maximum.. je hii ni mbaya ama njema?
hapo naona kuna double coincidence...
karibuni!
inategemea na mwili wa mtu mwingine akivuta anakula sana.
Ganja ina madhara kiafya kama pombe, sigara au mirungi iwapo tu utaifanyia abuse means ganja abuse; ganja abuse ni kama kuvuta bila kiasi yaani kuifanya msosi, na kuvuta pafu nyingi saana kuvuta afu uwe unakaa idle, na bila kula balance diet. Ganja ikivutwa kwa staha lets say asubuhi before hujaenda kazini inachangamsha ubongo na ukivuta jioni after work unarelax na kulala vizuri saanaa. Ukivuta nyingi saana utapata halucinatio na uchovu mwingi. Ganja ni addictive kama ilivyo sigara, pombe na sex ukiweza kuicontrol ni safi saaana. Ukiwasikiliza wataalamu watakwambia ina madhara na kila kitu hapa duniani kina madhara hata Sunlight cha muhimu usizidishe. Bangi usivutie shida vutia starehe.
NB: ukivuta ganja usivute kushabu chambua vizuri majani(vichwa) mbegu,ile miti na nwele zake zinaleta njaa cha muhimu vuta kitu kikali ka cha arusha ganja ni tiba inatibu mambo mengi saana na mojawapo ya mimea ya tiba ambayo muumba kaiweka duniani. Kama dawa zingine tu ukii abuse ina effect.
bangi inaleta social awarness and self consiousness huwezi kuta mvuta bangi mzuri sio yule anyeifanyia abuse akizini hovyo au akifanya mambo ya ajabu since utafkiri saana kabla huja act na inaleta confidence sana.
Kwa kiafya bado sijapata kipimo halisi cha kiwango cha nicotine kipi ni kikubwa kati yake na sigara nahisi bangi ina kiwango kidogo coz moshi wake ni mwepesi kuliko sigara na light in colour than moshi wa sigara
weed is awakening, revelation.
naunga mkono hoja.kila siku jioni lazima nipige misokoto yangu miwili ya mixer.(sigara kali + ndumu).
HAHAAA!! umezingua ww!
kwa hiyo wasio na hmu ya kula?
weed is awakening, revelation.
naunga mkono hoja.kila siku jioni lazima nipige misokoto yangu miwili ya mixer.(sigara kali + ndumu).
chaukucha dawa!
Una uhakika!? Muwe mnaleta mambo ya kweli sio uzushi uzushimadhara yote ya sigara... utayapata katika weed + cancer!
Lipua buddah..ebanaa eeeh,kaa vp lighter iko api 2chome kdgo
Sio kila Kaya inakupa mizuka, Kaya mingine Unalala au mwili una relax to the extent, only you can talk shits or watching military movies.weed iko fasta sana katika kukufanya uchanganyikiwe...
wengine wanasema inachangamsha.. kumbe ndio unachanganyikiwa interms of kuchangamka!
imagine, mwanadamu wa kawaida kulima masaa 12 mfululizo, ni kitu ambacho hakiwezekani..
lakini ukipiga weed, unapata mzuka wa kufanya kazi to the maximum.. je hii ni mbaya ama njema?
hapo naona kuna double coincidence...
karibuni!
Nicotine ni kwenye cigarette kaka mkubwa, kwenye ganja Kuna compound inaitwa THC ( Tetrahydrocannibinol ) ambayo by definition: a compound, C21H30O2, that is the physiologically active component in cannabis preparations, including marijuanaand hashish, derived from the Indian hemp plant or produced synthetically.Abbr.:THC)Ni mmea tu kama mimea mingine hauna madhara bali una virutubisho muhimu kama nikotini na vitamin