Nini maana yake?

miss strong

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
7,011
Reaction score
3,708
Nina rafik yngu wa kiume yy ni advocate ktk ofic moja hapa dar es salaam tumedumu ktk urafik wetu yapata mwaka na nusu unaelekea wa pili amejaribu kunihitaj kimwil nikamchomolea nakumpa sababu ambazo nilizoziamin mm nisifanye hvyo lakin nilishukuru maana alielewa na tukaendelea na mawasiliano na kuwa marafik wa kawaida.....huyu kaka tunatokea mkoa mmoja .Kilichonisukuma kuandika huu uzi ni jambo lililotokea leo jion.......alinipigia akiwa ofic ya watu huko posta akifanya kaz zake binafs maana yupo likizo kipindi hiki kuwa jina langu la ukoo ni nani?nkamuuliza walihitaj la kaz gn ?na mbona jina lngu walifahamu?cm ikakatika lkn nikampgia na kunipa baba mmoja niongee nae nakuniambia ametoka kijij kmoja na mzee wngu huku akimwambia mpk ding anapofanyia kaz......jambo ambalo limenipa wacwac.Yule mzee akahitimisha kwa kusema wote kumbe ni wanangu!!!!!!!!!!Kwa kwel inanipa hofu km yule mzee atakutana na ding itakuweje.......naomben msaada wa kimawazo jmn!
 
Mbona hakuna cha kuhofia hapo? Jamaa ako alimwambia mzee wake kuhusu uhusiano wenu na ikatokea kuwa ana uhusiano wa karibu na baba yako. Kinachofuata ni kuwekwasawa mambo tu na ukachukuliwa kwa ujumla!
 
Mmmmmmmhhhhhh hyo baba anaongea kishenz na ni rafik wa bb yke na huyo kaka.....ss kinachonipa hofu ni kunilazimisha nimuulize bb yngu yy ni nan lazima ataniambia.
 
Mmmmmmmhhhhhh hyo baba anaongea kishenz na ni rafik wa bb yke na huyo kaka.....ss kinachonipa hofu ni kunilazimisha nimuulize bb yngu yy ni nan lazima ataniambia.

Kwani kwa haliyoyote iwayo, wewe si una uhusiano na huyo rafiki yako? Kumjuwa yeye ni nani hakubadilishi mahusiano yenu. Unaogopeshwa na debe tupu? Halikosi mshindo!
 
Kwani kwa haliyoyote iwayo, wewe si una uhusiano na huyo rafiki yako? Kumjuwa yeye ni nani hakubadilishi mahusiano yenu. Unaogopeshwa na debe tupu? Halikosi mshindo!

Thanx kwa kunipa moyo coz imenipa maswal sn....wameanzaje kuniongelea mm mpk kufikia mpk kupigiwa cm.Alafu huyo mzee ni muongeaj hatar alafu na mm ding yngu mtata
 
kama kweli wewe ni miss strong wa uhakika khofu inatoka wapi ukuujua ukweli sasa tena hujabanguliwa........................au unataka ubanguliwe khalafu uelezwe kuwa hiyo ni "incest"?

Only the truth will set you free.............
 
Huyo alifika huko kijijini!akapiga story na huyo mzee katikati ya maongezi yao,akakuingiza mzee naye akadai mbona huyo cimpati vizuri! Ndo wakaamua wakupigie cm kupata more info zako!!! Mamyto Ondoa hofu!!
 
Ha ha ha eti king'amuz ....hofu yngu ni huyo mzee km atakutana na ding atamwambiaje?
 
Inawezekana miss strong ni jina la king'amuzi....
Anyway ni hivi miss strong, mwanaume anapokuongelea mbele za watu wengine kuna kila dalili anakukubali...hivyo punguza wasiwasi.

Nashukuru kwa kutuliza mtima wngu maana ilikuwa bonge la hofu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha eti king'amuz ....hofu yngu ni huyo mzee km atakutana na ding atamwambiaje?

Atamwambia mwanao ni mtu wa misimamo sana na pia yuko makini sana......!!!kwan we unamzimia huyo kijana au una mpango wa kutoka na mwingine???Naona kinachokutisha ni kwamba home watajua mapema,then unaweza kushindwa kummmwaga lawyer wa wtu!!!!MWAKA NA USHEE HUJATOA MZIGO NA BADO MTU ANA MSIMAMO JUU YAKO....KWELI PENYE MITI HAKUNA WAJENZI.....:A S-confused1:TULIZANA BIBIYE...UKIPENDA PENDEKA DADA!!!
 
Tatizo niliwah kutongozwa na bro wke b4 yy na wala ckutembea nae inanipa wkt mgumu kumkubal mdogo mtu na ni watumbo moja.
 
Yan we acha tuu...kinachonikera mm je walikuwa wananiongelea kitu gn mpk kufikia kuhitaj majina yngu

miss strong wanani anjema tu kukukagua msije kuwa dugu damu moja khalafu ikaleta shida mbele ya safari........
 
Ondoa hofu
mwisho wa siku wakikuboa unaweza tu kata mawasiliano..nao...
 
Ondoa hofu
mwisho wa siku wakikuboa unaweza tu kata mawasiliano..nao...

Alafu naye ni member humu....uje useme nia yko kuniulizia ukoo wangu kwa wazee tena nisio wajua lkn ni wakijiji cha kwetu huko mbwinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…