Pia mtu kuitwa wakili msomi kwako inakupa shida gani?
Ni nani aliye kuponzwa ukaenda kusomea ualimu harafu leo unaona gele kwa walio somea "usomi"
Infact, tumekubaliana taaluma yetu ni ya wasomi (learned prominent lawyer) na tulio wakaribisha kujiita wasomi ni madaktari wengine wote makida makida.
Tena uwe unawaita "mwanasheria msomi sana, wakili wa mahakama kuu, muheshimiwa mwabukusi