Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,108
- 34,931
Asipotibika wakati yupo mtoto anakuwa mtu mzima anakuwa mtu mwenye akili ya tahira Mapepe.Je, akishakuwa mtu mzima anakuwaje?
nahitaji unielekeze nifanyeje maana nina mtoto ana tatizo hilo na ana umri wa miaka mitano sasa na haongei ni kama bubuAsipotibika wakati yupo mtoto anakuwa mtu mzima anakuwa mtu mwenye akili ya tahira Mapepe.
Kama imeshindikana hospitali kumtibu mwanao nitafute kwa wakati wako ukihitaji mimi bonyeza hapa.Mawasilianonahitaji unielekeze nifanyeje maana nina mtoto ana tatizo hilo na ana umri wa miaka mitano sasa na haongei ni kama bubu
Kama nimechelewa kukujibu kama mdau alivyokujibu hapo juu. Yakupasa kumpeleka mtoto kwa watu wa occupational and physical therapists watamsaidia sehemu kubwa sana hata kama hataweza kurudi kwenye normal kabisa lakini angalau atakuwa mtu miongoni mwa watu. Tatizo la language pia linatibika japo si kwa dawa ila na mtu anayeitwa language therapist.tufanyeje wenye watoto wa aina him?
Kuna kitu kinaitwa Early Intervention hapo mtoto atapata angalau kwa kiasi kikubwa sana.Je, akishakuwa mtu mzima anakuwaje?
Kama nitakuwa nimechelewa sana kukujibu nenda /mpeleke mtoto kwenye Kituo cha watoto /watu wenye mtindio wa akili hao wengi wanakuwa na huduma za occupational and physical therapy. Kwa umri wa miaka mitano bado haujachelewa sana atakuwa okay kabisa. Kwa ifakara kuna Kituo kinaitwa Bethlehem ni cha kanisa katoliki kipo vizur sana. Kuna wanafunzi waliolelewa hapo then badaye tukaungana pamoja shule ya msingi tukamaliza walikuwa okay japo wengi wao walikuwa na mental retardation.nahitaji unielekeze nifanyeje maana nina mtoto ana tatizo hilo na ana umri wa miaka mitano sasa na haongei ni kama bubu
Nina baadhi ya video za occupational and physical therapy.nahitaji unielekeze nifanyeje maana nina mtoto ana tatizo hilo na ana umri wa miaka mitano sasa na haongei ni kama bubu
Siyo ulaya tu. Ukipata mtoto wa namna hiyo utakutana na wenzio wengi huko kwenye matibabu na utajua kuwa kumbe wapo wengiHuu ugonjwa upo ulaya zaidi.