Mwezako anapiga hela juu yavitabu vyake hivyo,wewe unasubili kulipwa namagufuli ,ndomana mkipigwa mkwara kidogo mnakimbilia misamahaa(trump anawaita niwafungwa hamjielewi)unakuja kuzipata million 70 uzeeni.kinachofata unachanganyikiwa...mwezako anazichanga hata zikifika billion hatachanganyikiwa anakua amezizoea nahuru kufanya analotaka isipokua kuvunja sheriaMuulize Yericko Nyerere yule jasusi wa kigamboni
Maana halisi ya ugaidi . Ugaidi in matukio yanayofanywa na kundi la watu (wanaoitwa magaidi) lengo kubwa ni kutaka mawazo yao yasikilizwe na haki yao ipatikane Kwa lazima ,kutoka Kwa watawala wa nchi yaani serikali iliyo madarakani, baada ya kuona njia ya kisheria na kidplomasia imeshidwa kutumika na haki yao kupatikana. .in Mimi muhitimu wa course yaTerrorism and counter Terrorists kutoka Leiden University. Ukitaka zaidi kuhusu Terrorism usikose kunicheki inbox. Nitakuelezea Kwa mini dini ya kiislam inaunganitwa na ugaidi,he kweli au propaganda? Nicheki ujue ukweli,kuna evidence ,research nyingi zimefanyika na ukweli uko wazi, sema hauzungumzwi nina Advanced certificate kutoka Leiden University.Naombeni maana ya hilo neno kwa undani kidogo
Mkuu comment yangu ya maneno manne umejibu gazeti lote hili? Nani kakwambia hapigi hela? Kitabu chenyewe leo atauza 80k afu kesho anaamka anauza 40k, hivi unadhani huyo akipewa kazi na Magufuli ataikataa?Mwezako anapiga hela juu yavitabu vyake hivyo,wewe unasubili kulipwa namagufuli ,ndomana mkipigwa mkwara kidogo mnakimbilia misamahaa(trump anawaita niwafungwa hamjielewi)unakuja kuzipata million 70 uzeeni.kinachofata unachanganyikiwa...mwezako anazichanga hata zikifika billion hatachanganyikiwa anakua amezizoea nahuru kufanya analotaka isipokua kuvunja sheria
Maana halisi ya ugaidi . Ugaidi in matukio yanayofanywa na kundi la watu (wanaoitwa magaidi) lengo kubwa ni kutaka mawazo yao yasikilizwe na haki yao ipatikane Kwa lazima ,kutoka Kwa watawala wa nchi yaani serikali iliyo madarakani, baada ya kuona njia ya kisheria na kidplomasia imeshidwa kutumika na haki yao kupatikana. .in Mimi muhitimu wa course yaTerrorism and counter Terrorists kutoka Leiden University. Ukitaka zaidi kuhusu Terrorism usikose kunicheki inbox. Nitakuelezea Kwa mini dini ya kiislam inaunganitwa na ugaidi,he kweli au propaganda? Nicheki ujue ukweli,kuna evidence ,research nyingi zimefanyika na ukweli uko wazi, sema hauzungumzwi nina Advanced certificate kutoka Leiden University.