Nini maana ya uasi?

Uasi una maana gani au tafsiri ipi?

..inategemea neno " uasi " limetumika katika muktadha gani.

..kila neno au kauli inapaswa kutafsiriwa kulingana na muktadha wake.

..kwa mfano mtu anaposema haki " imebakwa" maana yake ni nini?

..Je, inamaanisha kubaki kule kunakohusisha tupu za wanadamu, au kuna maana nyingine?

..MUKTADHA ni muhimu sana.
 
Uasi una maana gani au tafsiri ipi?
kwani katuga kasemaje maana ya uasi. Mikwara mingi! kumbe hata hajui cross examination! eti tena ndiye anayetegemewa na ule upande mwngine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…