Yapo matukio ulishawahi kuyaona au kuyasikia. Ila unajua ni matukio mangapi mabaya ambayo yalipangwa na wahalifu lakini hayakufanikiwa? We shida yako ni kuandamana na mikutano tu? kwa faida yako na Chama chako pekeee? Halafu Watanzania wasio na shida na Chama chako inawasaidia nini wewe kuandamana au kufanya mikutano hatarishi kwa amani ya Taifa? Tatizo mnataka sifa saaana! Kama mikutano kuna kumbi tele Jijini, hata kuandamana pia humohumo mnaweza mkamaliza kabisa. Ila linapokuja suala la Amani, Tanzania kwanza, vyama baadaye!.