mtoto lelemama, kijana legelele...hawezi show kali, hawezi kazi ngumu, ndio wanaofirwa mjini kwa sababu hawajiwezi kwa lolote......mfano mimi nilipomaliza chuo nilienda daressalam kutafuta kazi lakini sikufanikiwa, ikanibidi nikaombe kibarua pale kwenye kiwanda cha bakhresa buguruni...pale kuna ajira kuu mbili kubeba unga wa ngano kupakia kwenye magari kumbuka unga huo ni kg 25 na malipo kwa siku ni 6500 au kubeba pumba za ngano na kupakia kwenye magari kumbuka gunia la pumba ni kg 30 mpaka 70 inategemeana na siku malipo ni 4500, mimi nilipangiwa kubeba pumba kule ndani kuna madogo wao waliishajikatia tamaa.....nimeifanya ile kibarua kwa muda wa mwezi mmoja na nilikuwa kibarua mtiifu mpaka foremen alinikubali.............JE MIMI NI NANI MTOTO WA MAMA AU JIWE LA PEMBENI 😁😁