Nini maana ya msemo 'Fimbo ya mbali'?

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,513
Reaction score
5,134
Mtu anaposema fimbo ya mbali haiuwiii nyoka ana maana gani
 
Ana maana kuwa msaada unaofaa kutatua shida za ghafla ni ule wa karibu na haraka....
 
Ana maana kuwa ili uweze kuua nyoka hakikisha uko na fimbo karibu.
 
Inamaa kwamba Nyoka hawezi subiria fimbo itoke mbali ije kumuua.
 
Mbona semi inazieleza tafuta snake kaa mbali mpige na fimbo kama utamuuwa
 
Msaada kutoka mbali hausaidii kama msaada wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…