kumekuwa na kasumba ya baadhi wabunge wa CCM kuunga kila hoja inayoletwa mezani kwao, tabia hii imekuwa ikishika kasi kila kukicha, na yeyote yule ambaye haungi hoja amekuwa akionekana ni msaliti, na kuna baadhi yao licha ya kuunga wamekuwa wakitoa malalamiko kwa wizara husika kuwa kuna baadhi ya mambo hayaendi vizuri hasa kwenye majimbo yao lakini cha kushangaza budget zimendelea kuungwa mkono na wabunge wot wa CCM. kwa tafsri rasmi ya 100% ni kuwa hamna kasoro yoyote na hata wataalamu mbalimbali wamelidokeza hilo kuwa hakuna kitu ambacho ni perfect 100%.
maswali ya kujiuliza
(1) je wanaunga hoja kuwafurahisha baadhi ya watu hasa mwaziri wa wizara huska?
(2)hawajui maana halisi ya asilimia mia moja(100%)?
(3)je kuna sababu yoyote ya kulalamika kwamba wahapati huduma flan wakati budget wanaiona haina kasoro yoyote?
binafsi nuona km mpango ambao tayari umeshawekwa na ni maazimio ambayo kila mbunge wa ccm anapaswa aonekane anatekeleza maazmio hayo, lakini wabunge wameacha uzalendo kwa taifa wadiliki kuendelea kusifia uovu ambao unafanywa au ulishafanywa na wao wenyewe watangulizi wao. niseme tu kwamnba watanzania hatuja wachagua wabunge kwenda kukutetea ccm bali kwenda kuwawakilisha wananchi pamoja na matatizo yao. leo hii mbunge kikao cha budget kinaisha kwa yy kuunga hoja tu huu ni mzigo kwa taifa, unyonyaji na matumizi mabaya ya kodi za wananhi. mfano mbunge sijawahi kumuona hata kumskia either akichangia au hata akitajwa jina lake ndani ya bunge, uwepo wake pale ni mzigo labda huwa ana changia kwnye kupiga MEZA na kusema NDIO, lakin imefika wakat wabunge wote muongee uhalisia wa kile mnachokiona na kinchotendeka ndani ya serikali na siyo kubabaishana km mnavyofanya.
Ni vema wakatambua kuwa wananchi hatutawachagua kwa kuunga hoja asilmia mia moja au kwa kukiunga ccm kwa kila jambo linalo fanywa hata km ni ovu, ss tunaangalia ni jinsi gani unatuwakilisha kwa kutetea maslhi yetu na taifa zma kwa ujumla.
TAFAKARI CHUKUA HATUA