Wana jf habar zenu
Kuna neno huwa nalisikia sana watu wanalisema hasa kwenye comments kusimamia ukucha lina maana gan hili??. Kuna mwanamke leo kanambia wenzako wanasimamia hadi ukucha wewe zubaa nikashindwa elewa maana ake. Nijulishen wakuu maana ake.