Nini maana ya kuroot simu?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
NImekuwa naskia tu, download app flani...hiyo simu bila kuroot.....MAANA YAKE NINI????
 
Hata mie sijui maana ya kuroot,ila faida kubwa za kuroot ni pamoja na kuifanya simu yako iweze kuingiza baadhi ya software ambazo pengine bila kuroot usingeweza,lakini pia unaweza kuondoa unwanted software mfano ringtone za kwenye simu na baadhi ya app ambazo huwa hazifutiki mpaka uroot...... kwanini basi uondoe app usizo zitaka? Jibu ni kwamba unaiongezea simu uwezo wa kiutendaji ikiwemo kuipa uwezo wa kutunza chaji, kumbuka kuwa moja ya vitu vinavyo maliza chaji ni app ambazo huwa zinafanya kazi bila wewe kutaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…