NINI MAANA YA KAULI HII TAFADHARI

ACT-Nkasi

Member
Jul 12, 2015
80
42
Wakati wa kampeni zxa uchaguzi mkuu 2015 hii kauli ilikuaga dominant sana but mpaka leo sijaelewa nini ilikuaga haswa maana na dhamira yake

''Upinzani tusipochukua dola/nchi mwaka huu itachukua miaka mingine mingi sana kuchukua''

Kauli hii ilikuaga ikitolewa na si mara moja na viongozi waandamizi wa vyama vya upinzani katika mikutano yao na katika mijadala kadhaa kuhusu uchaguzi ule

sasa najiuliza ni kipi kilikua kinatoa msukumo wa wao kusema vile

au haya tuyaonayo leo yenye kumgusa mtanzania wa hali ya chini walikwisha yahisi mapema?

em wenye uelewa kidogo wanisaidie
 
Back
Top Bottom