Kama tujuavyo majina mengi ya miji au sehemu yanakuwa na historia yake au chanzo chake, mimi leo hii naomba kujua maana ya jina mji wa Mtwara.
Ki ukweli ingawa nimezaliwa na kusoma Mtwara lkn sijawahi kusikia chanzo cha jina hili, na ikumbukwe pia kuwa Mtwara leo hii ni mji muhimu sana ktk uchumi wa inchi yetu, ingawa zamani ulikuwa ni mji wa adhabu kwa wafanyakazi wa serikali.
Sio mbaya leo hii tukijua historia ya mji huu ulikoanzia, najua kuwa makabila wenyeji wa mji huu wamakonde, wamakua, na wamwera.
Je, wewe ujua nini kuhusu Mtwara au gas town ( karibu sana)