Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,328
Nikaota nimeenda kukata tiketi ya basi ili kesho nisafiri from Mwanza to Dar or Morogoro, kisha wakati narudi home basi la kampuni ileile likanileta mpaka karibu na nyumbani.
Kesho yake (siku ya safari) nikaamka kuwahi basi lakini nikiangalia saa naona bado kama dakika saba basi liondoke.
Kisha nikamwona dada akimwambia mama juu ya safari yangu ambayo sikuwa na mpango wa kumuaga mama, wakaanza kusema sijui nina mwanamke Morogoro nk nk.
Kisha nikakumbuka sina hela ya kutosha, sasa naenda kufanya nini huko? Nikaahirisha safari. Badae tena nikaota uume wangu umepasuka katikati hadi naona shina la ndani kabisa then, nikachukua hatua kwenda kutafuta dawa kwa dr ninayemfahamu ana duka la dawa muhimu.
Hapo ndipo nikashtuka kutoka usingizini!NINI MAANA YAKE?