Nini maana ya GPA

Nini maana ya GPA

Grade Point Avarage...
Ni grades zinazotumika kuassess average perfomance ya m/funzi vyuoni.
 
Sku nyingne unakuwa specific whether unataka kirefu au maana tu....
 
I dont knw za dip.bt what i knw vyuo hasa vya private vinatofautiana sana namna ya kupangilia poins zao bt kwa dip,i real knw nothing on that
 
Grade points average, wanachukua score yako kwa mfano kama kozi husika ulipata A kwa UDSM, A ina thaman ya point 5 then wanazidisha na units za hyo kozi km kozi hyo ina units 3 so itakua ni 5*3=15, then watafanya hvyo kwa kozi zote kisha wana jumlisha hizo points zako na kugawa kwa total units kwa mwaka mzima, I.e. GPA= points (e.g. 15+....nth)/total units. Km hujaelewa uliza mkuu
 
Grade Perfomance Average

Unaweza pata vipi "perfomance average"?? Kinachopimwa ni point. Tunatafuta wastani wa point kupata grade,ndipo tunapima perfomance. Wewe ni bingwa wa kukariri.
 
Ngoja nikupe mfano. tuseme kozi ina masomo matano, somo a,b,c,d,e. kila somo lina credit hours tuasum 10.
kwahiyo jumla ya credit zote ni 10*5=50
>pia asumu ulipata A. Masomo yote na
A=5
B+=4
B=3
C=2
Hivyo somo a =(10/50)*5=1
HIVYO MASOMO YOTE YANA POINT 1.
GPA=1+1+1+1+1 =5.0
GPA:5.0 Hii ni distiction ,hata kama A=4
B=3
C=2
Somo a =(10/50)*4 =0.8
hivyo 0.8*5=4
hivyo gpa ya 4.00 ni first class
 
Back
Top Bottom