Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye...
Utofauti wa flagship na simu zingine upo kwenye Quality.Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka sanaa aliniambia yaani umekubali kubadilishana flagship phone na simu za kawaida bila kuongezewa hela yeyote, ile nikamuuliza flagship ndio nini yaya akaniambia hana maelezo sanaa kuhusu flagship ila tu nijue note na S series ni flagship na simu nzuri zaidi.
Sasa naombeni mnisaidie hapa maana ya flagship na sifa gani simu inatakiwa iwe nazo ili iitwe flagship? Je naweza jua Series nyingine za simu ambazo ni flagship? Mfano S na NOTE kwa samsung? Asanteni sana na kwa bajeti ya laki 8 hadi 9 simu gani nzuri naweza pata (mimi kama mimi nilikuwa na plan na iphone xs max ingawa nimeambiwa ni ndogo sana kuipata kwa hii bei)
Chief-Mkwawa T14 Armata
Aisee pole sana. Unabadilishana note 9 na oppo😊😊.Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka sanaa aliniambia yaani umekubali kubadilishana flagship phone na simu za kawaida bila kuongezewa hela yeyote, ile nikamuuliza flagship ndio nini yaya akaniambia hana maelezo sanaa kuhusu flagship ila tu nijue note na S series ni flagship na simu nzuri zaidi.
Sasa naombeni mnisaidie hapa maana ya flagship na sifa gani simu inatakiwa iwe nazo ili iitwe flagship? Je naweza jua Series nyingine za simu ambazo ni flagship? Mfano S na NOTE kwa samsung? Asanteni sana na kwa bajeti ya laki 8 hadi 9 simu gani nzuri naweza pata (mimi kama mimi nilikuwa na plan na iphone xs max ingawa nimeambiwa ni ndogo sana kuipata kwa hii bei)
Chief-Mkwawa T14 Armata
Hamna kaka hatuna hela sema tu hatujui vitu ndio maana nikaja kwa wajuz kama nyieUna mahela mengi lakini kichwani huna maarifa. Kabla ya kununua kitu chochote kile ambacho ni technical kama vile simu, gari, PC na kadhalika unatakiwa utafute kwanza maarifa juu ya hicho kitu, tofauti na hapo utaishia kupigwa, kununua kitu chenye ubora mdogo kwa hela kubwa na kadhalika.
Mm nikajua kwakuwa n ya 2020 na betri yake ni 5000 nikazania jamaa nimempiga hatar kumbe mm ndio nimepigwa daaahAisee pole sana. Unabadilishana note 9 na oppo😊😊.
Information is power
iii note ngapFlagship kama hiiView attachment 1747220
Asante sana kwa hilo kakaUtofauti wa flagship na simu zingine upo kwenye Quality.
Flagship ndio simu daraja la juu.
Kwan mate na p series ipi ndio flagship kwa huaweiFlagship ni TOLEO KUU la simu katika kampuni husika. Kila Brand ina toleo kuu ambalo ndio linaneba maana halisi ya simu zake zenye premium features (yaani sifa za kiwango cha juu) kwa kadiri ya uwezo wao wote.
Flagship zinatoka takriban mara moja kwa kila miezi 6. Na baada ya kutoka hiyo flagship inasindikizwa na zile simu za kawaida ambazo zinatoka kwa wingi hadi Toleo lingine la flagship litakapotoka.
Mfano wa flagship;
Kwa Samsung: i.e S- series na Note- Series.
Kwa Vivo : i.e X - Series.
Kwa Xiaomi : i.e Note-Series
Kwa Huawei: i.e Mate -Series
Kwa Tecno: i.e Phantom-Series
Acha tu siku hz ndio naaiona n nzito hatarukisikia flagship maana yake ni simu yenye feature zote muhimu na nzuri kabisa kwa mwaka husika.
ukitaka kujua kaka ulichemka hapo linganisha vifuatavyo.
nguvu,simu zote zinatumia muda gani kufungua na kumaliza app kubwa kubwa.
ubora wa kioo na camera,chukua zote piga picha sehem moja.
mwenzako alijua uwezo wa note 9 ndio maana hata hamkubishana.
Redmi k20 pro. Zilitolewa kwa ajili ya China tu.h
iii note ngap
Zote ni flagshipKwan mate na p series ipi ndio flagship kwa huawei
Sawa kakaRedmi k20 pro. Zilitolewa kwa ajili ya China tu.
Version ya Global ya hiyo ni Redmi 9t pro.
kaka na asante sanaaZote ni flagship
Ushamba mzigo kakaUmeuza nyumba umenunua mswaki wa mti au msemo mwengine umebadilishana panga la dhahabu kwa kioo Sababu umeiona taswira yako kwenye kioo ukakipenda.