abagabo Senior Member Joined Jun 4, 2014 Posts 155 Reaction score 168 Oct 8, 2018 #1 Heshima kwenu, video file zangu zote pamoja na photo zote zinaonesha type of file: CEPVI File (.cepvi), na sasa hazifunguki. Msaada tafadhali, nimetafuta msaada kwenye net nimekosa
Heshima kwenu, video file zangu zote pamoja na photo zote zinaonesha type of file: CEPVI File (.cepvi), na sasa hazifunguki. Msaada tafadhali, nimetafuta msaada kwenye net nimekosa
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,138 Oct 8, 2018 #2 Mkuu nitarudi. Ila sitaki kuamin umekua attacked na ransomware. Wait nitarudi
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Oct 9, 2018 #3 hiyo extension ndio naiona leo, huenda zishakuwa corrupted mkuu
abagabo Senior Member Joined Jun 4, 2014 Posts 155 Reaction score 168 Oct 9, 2018 Thread starter #4 Philipo D. Ruzige said: Mkuu nitarudi. Ila sitaki kuamin umekua attacked na ransomware. Wait nitarudi Click to expand... Mkuu nimekusubiri sana,
Philipo D. Ruzige said: Mkuu nitarudi. Ila sitaki kuamin umekua attacked na ransomware. Wait nitarudi Click to expand... Mkuu nimekusubiri sana,
abagabo Senior Member Joined Jun 4, 2014 Posts 155 Reaction score 168 Oct 9, 2018 Thread starter #5 ISLETS said: hiyo extension ndio naiona leo, huenda zishakuwa corrupted mkuu Click to expand... Mkuu hizi wala wala hazija corrupt.
ISLETS said: hiyo extension ndio naiona leo, huenda zishakuwa corrupted mkuu Click to expand... Mkuu hizi wala wala hazija corrupt.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Oct 9, 2018 #6 Basi abagabo said: Mkuu hizi wala wala hazija corrupt. Click to expand... Basi sawa ngoja tusubiri wajuzi waje maana wengine sio fani zetu hizi
Basi abagabo said: Mkuu hizi wala wala hazija corrupt. Click to expand... Basi sawa ngoja tusubiri wajuzi waje maana wengine sio fani zetu hizi