mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Maanake niniE-SIGN
G-STRING
H-BEAMS
Ndiyo hivyo mkuu
Atakuja kusimulia alivyo pigwa kijijini wakati wanasubiria mzee flani tajiri afe, kama atakuwa amesahau ile simulizi ya kumtafuna mke wa mjomba ama bamdogo wakeDaktari wa Meno sema lolote
HaichekeshiE ni English
G ni Geography
H ni History
Simu zote zinatumia combination ya HGE.
alitafun mke mi nilijua kaishia kwa house girlAtakuja kusimulia alivyo pigwa kijijini wakati wanasubiria mzee flani tajiri afe, kama atakuwa amesahau ile simulizi ya kumtafuna mke wa mjomba ama bamdogo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpangilio tu ulioutumia kuelezea, lazima niku 'like'.E- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data yake ipo limited kwenye speed)
G- 2G GSM (hii haina data, ni text na calls only)
H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Labda swali lingne, hiz zinakuja zenyew automatic au zinawekwa na mitandao?E- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data yake ipo limited kwenye speed)
G- 2G GSM (hii haina data, ni text na calls only)
H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
3 inasimama badala ya nnE- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data yake ipo limited kwenye speed)
G- 2G GSM (hii haina data, ni text na calls only)
H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
Matango poriE- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data yake ipo limited kwenye speed)
G- 2G GSM (hii haina data, ni text na calls only)
H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
Naomba nimrekebishe kidogo hapo kwenye G sio gsm bali ni GPRS (General Packet Radio Service) na hiyo 3G ni third generation kama ilivyo 2G ambayo ni second generation ambayo pia ndiyo GPRS yenyewe, na 4G ni forth generation nadhan H na H+ zimesha elezwa hapo juu3 inasimama badala ya nn
Mimi nimecheka
Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwenye G sio gsm bali ni GPRS (General Packet Radio Service) na hiyo 3G ni third generation kama ilivyo 2G ambayo ni second generation ambayo pia ndiyo GPRS yenyewe, na 4G ni forth generation nadhan H na H+ zimesha elezwa hapo juuE- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data yake ipo limited kwenye speed)
G- 2G GSM (hii haina data, ni text na calls only)
H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
E ni English
G ni Geography
H ni History
Simu zote zinatumia combination ya HGE.