Ngatunga1
Member
- Nov 10, 2019
- 5
- 0
Je, Dira ya Taifa inatengenezwa na nani?
Je, wahusika wa kuandaa Dira ya Taifa ni wahusika wa chama au ni watumishi wasio husika na chama?
Je, ni namna gani hutumika kukusanya maoni kwaajili ya kuandaa Dira ya Taifa.
Kama Dira ya Taifa haihusiki na chama chochote ,Je ni sawa kutaja chama kwenye uzinduzi wa Dira ya Taifa.
Naomba kwa anayeelewa kuhusu haya maswali anisaidie ili niweze kuielewa hii Dira ya Taifa.