STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Ndug wanaJF me ni mgeni ktk hili jukwaa lakn naomba msaada wenu kuhusu hii data roaming. kuna jamaa ana cm ya vodafone vf685. cm yake ikiwa kwenye mtandao wa 2g inakuwa na speed ya 3g kwan huandika RH+ na speed yake huwa kubwa xana kufkia 589kb/s.
Kwa nini cm yake inafanya hvo. ni settings gan zimewezesha cm yake kuwa hivo. mwenye kujua kuhusu ili atupie hapa ili tuona kama cm zingine za.tecno na samsung kama zinaweza kuaccept settings izo. nawashukuru.