Ni kuasili mtoto, mtoto asiye wako wa kuzaa unamchukua kisheria anakuwa wako.
Kwann watu wanaadopt?
1.kuzaa watoto wa jinsia moja
2.kutokuwa na uwezo wa kuzaa/kuzalisha.
3. Mapenzi/upendo n.k mtoto ambaye umem-adopt huwez kumuona nikosa kisheria.
Pia mtoto unayem-adopt lazima umzidi miaka 21. Atapata haki sawa kama mtoto wako wa kuzaa. Sifa za ku-adopt lazima uwe na uwezo wa kumtunza ikiwa ni pamoja na kumsomesha mtoto unayetaka kum-adopt n.k