redSilverDog JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 470 Reaction score 77 Sep 19, 2010 #1 Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza: Code: bigot [ˈbɪgət][I]n[/I] a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race Code: [COLOR=black] chauvinist[/COLOR] - a person with a prejudiced belief in the superiority of his or her own kind Kiufupi wengi waliokuwa humu ndani ni 'bigots'!.. Samahani kama kuna mtu atakuwa amekashifiwa.
Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza: Code: bigot [ˈbɪgət][I]n[/I] a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race Code: [COLOR=black] chauvinist[/COLOR] - a person with a prejudiced belief in the superiority of his or her own kind Kiufupi wengi waliokuwa humu ndani ni 'bigots'!.. Samahani kama kuna mtu atakuwa amekashifiwa.
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 Sep 19, 2010 #2 kwa nini hii usiipeleke kule kwenye advice complaints na maoni au habari mchanganyiko.
redSilverDog JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 470 Reaction score 77 Sep 19, 2010 Thread starter #3 Kwasababu inahusu mawazo ya watu kisiasa. Nadhani hili ni jukwa la siasa.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,094 Reaction score 9,261 Sep 19, 2010 #4 redSilverDog said: Kwasababu inahusu mawazo ya watu kisiasa. Nadhani hili ni jukwa la siasa. Click to expand... Kwanza unaoneka umejiunga jana!! pili kaulimmbiu yako inaendana na wewe "Cowards are weak no matter how healthy they are!!" Karibu sana JF "where we dare to speak openly"
redSilverDog said: Kwasababu inahusu mawazo ya watu kisiasa. Nadhani hili ni jukwa la siasa. Click to expand... Kwanza unaoneka umejiunga jana!! pili kaulimmbiu yako inaendana na wewe "Cowards are weak no matter how healthy they are!!" Karibu sana JF "where we dare to speak openly"
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,126 Sep 19, 2010 #5 redSilverDog said: Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza: Code: bigot [ˈbɪgət][I]n[/I] a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race Code: [COLOR=black] chauvinist[/COLOR] - a person with a prejudiced belief in the superiority of his or her own kind Kiufupi wengi waliokuwa humu ndani ni 'bigots'!.. Samahani kama kuna mtu atakuwa amekashifiwa. Click to expand... Nilidhani hii thread ni swali..ok i guess si wote tulifaulu masomo ya lugha huko lower schools. Kwene red hapo, wengi humu ni bigots kwa sababu zipi? fafanua.
redSilverDog said: Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza: Code: bigot [ˈbɪgət][I]n[/I] a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race Code: [COLOR=black] chauvinist[/COLOR] - a person with a prejudiced belief in the superiority of his or her own kind Kiufupi wengi waliokuwa humu ndani ni 'bigots'!.. Samahani kama kuna mtu atakuwa amekashifiwa. Click to expand... Nilidhani hii thread ni swali..ok i guess si wote tulifaulu masomo ya lugha huko lower schools. Kwene red hapo, wengi humu ni bigots kwa sababu zipi? fafanua.