yap ni kweli ila ni benchmark ya kizamani na haina maana kwa standard za siku hizi na kama inavyoitwa ni benchmark ya windows na sio CAD, wala GTA V wala Adobe Afater Effect. kwenye operating system mpya za microsoft kama windows 8.1 na 10 wameitoa haipo tena.