Kimsingi haya ni matokeo ya mmomonyoko wa maadili ktk jamii.
Wazee hawana staha
vijana hawana staha
watoto wanaiga kwa yatokanayo na wazazi.
unakuta mama anamtukana mwanae bonge la tusi mwisho wa siku mtoto anachukulia lile tusi ni kitu cha kawaida hii ipo sana uswazi.
papuchi....
kiungo gani?