Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 550
- 654
😂😂 Mkuu, hapo ndipo swali lenyewe lilipo. Siku taasisi zote zikawa zinasimama kwenye sheria, kanuni na taratibu bila maagizo ya nje, tutaanza kuona tofauti kubwa kwenye namna mambo yanavyokwenda.Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Najiuliza siku mhimili wa kutoa haki ukisema tuta tafsiri sheria kisawa sawa; na kwamba wataachana na hbr ya jaji na tabia ya jaji Mwanga.
Nini kinatokea in (Mwamposa voice)
Vyombo vya Dola kote duniani hupokea amri kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu! Kwenda kinyume ni Uhaini na adhabu yake inajulikana.Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Najiuliza siku mhimili wa kutoa haki ukisema tuta tafsiri sheria kisawa sawa; na kwamba wataachana na hbr ya jaji na tabia ya jaji Mwanga.
Nini kinatokea in (Mwamposa voice)
In fact,Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Najiuliza siku mhimili wa kutoa haki ukisema tuta tafsiri sheria kisawa sawa; na kwamba wataachana na hbr ya jaji na tabia ya jaji Mwanga.
Nini kinatokea in (Mwamposa voice)
labda Kingai, Nkunda na Wambura wasiwe kwenye vyeo vyao vya sasa vilivyotokana na UCHAWA jadi wanaogopa dodoso Mahkamani!Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Najiuliza siku mhimili wa kutoa haki ukisema tuta tafsiri sheria kisawa sawa; na kwamba wataachana na hbr ya jaji na tabia ya jaji Mwanga.
Nini kinatokea in (Mwamposa voice)
Ni ndoto ya Ally Nacha yaani CDF .IGP hawa na jaji Mwanga wafanye hayo labda jua litokee magharibi kwanzaNajiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Najiuliza siku mhimili wa kutoa haki ukisema tuta tafsiri sheria kisawa sawa; na kwamba wataachana na hbr ya jaji na tabia ya jaji Mwanga.
Nini kinatokea in (Mwamposa voice)
Halito kuja kutokea hilo ndani ya hii Ya tanzania,kwa sababu kabla ya kupewa hizo oda wanakutana na bahasha kwanzaNajiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.