Nina modem tatu, Vodacom, Zantel na Airtel na zote nime-install kwenye laptop yangu.
Juzi baada ya kuishiwa bundle kwenye modem ya Vodacom nilichomeka modem ya Zantel kama kawaida kwenye pot ya Laptop yangu ili kupata net.
Matokeo yake ikafunguka Voda na cha kushangaza ikaonyesha kabisa zile alama za minara, nilipo-connect ikakubali. Na nilipojaribu ku-surf internet ikakubali pia, mpaka muda huu natumia Voda net (?) ingawa nimeweka modem ya Zantel.
Nauliza wataalam/wazoefu, ni nini kilichotokea? Kama itakuwa natumia bundle ya zantel why itokee Voda na ikubali ku-connect?
Kama natumia internet ya Voda why ikubali wakati nimeweka modem ya Zantel?
moderm yako itakuwa inaingiliana driver either zote ni ZTE au Huaweii ndo maana zinasomana dashboard ,nadhani moderm yako ya zantel ni yakuweka line. ingekuwa sio isingesoma kwenye dashboard ya voda
moderm yako itakuwa inaingiliana driver either zote ni ZTE au Huaweii ndo maana zinasomana dashboard ,nadhani moderm yako ya zantel ni yakuweka line. ingekuwa sio isingesoma kwenye dashboard ya voda
Modem ya Zantel haitumii line ila ya voda inatumia.
Labda kwenye ishu ya ZTE/HUWAWEI, nina hakika zantel modem ni Huwawei, kwa Vodacom sina hakika labda nikirudi home nicheki.
Modem ya Zantel haitumii line ila ya voda inatumia.
Labda kwenye ishu ya ZTE/HUWAWEI, nina hakika zantel modem ni Huwawei, kwa Vodacom sina hakika labda nikirudi home nicheki.
Modem unazotumia zote ni huwawei hivyo zinatumia same driver, same interface. Ndio maana unaweza kuweka zain ikatumia interface ya modem ya voda, ni kwa sababu modem zinafanana na zimetoka kwa manufacture mmoja
Kwa nini unapata Internet through different interface, ni kwa sababu service providers hao wawili wanatumia data connection settings (APN settings) zinazofanana hivyo ukitumia modem ya zain kwenye interface ya modem nyingine imnakuta apn settings siko sawa na hivyo inaweza ku connect kama kawaida