nini kinasababisha mwanaume kwenda round moja wakati wa kusex?

hahahaha yani unategemea utapa jibu kutoka kwa wapiga round moja amabao hakuna hata mmoja anayeweza kukwambia anapiga round moja? kila mtu hapa hasa jf huwa ana piga round zaidi ya nne.angalia comment zote hakuna anae kubali kuwa anapiga moja.

daaa jf kiboko
 
SABABU KUBWA KUKOSA MAANDALIZI, NA PUPA WAKATIMWINGINE KWA SABABU YA PUPA HATA BABU ANAWEZA AKAZIMIA KABLA HUJAANZA MECHI.

Pengine matumizi ya pombe sigara na mazingira pia. mazingira ya wizi kama huna uhalali na huyo unae shiriki nae, na hofu ya kupigwa chabo ni tatizo pia. hali ya hewa kama joto sana pia husababisha uchovu. usafi wa mwili na aina ya marashi mnayotumia pia huchangia. kelele na aina ya wimbo maokua mkisikia, hali ya maumbile ya mwenzi wako;

kweli sababu ni nyingi sana. ikiwa huna tatizo la kiafya, na hayo pia hayapo., nakushauri uache uvivu.

bidii ifanyike sana kuboresha mahusiano. usisahau kumweleza mwenzio namna unavyo pata raha ili naye akupe ushirikiano mzuri, usiwe mvivu kuisifu kazi yenu.
 
Some time maisha mkuu yanakupeleka peleka...mpaka kuhondomola unafanya ni jambo la mwisho kabisa kwenye mind na akili yako(kuna age ikifika some time sex unaiweka ya mwisho kabisa kwenye list yako ya vitu muhimu mpaka maisha yanapo kaa sawa mind u naongelea watu wenye maisha haya yetu ya kawaida)...ndo maana saa nyingine nashangaa utakuta mwanamke anamfananisha performance ya mme wake ambaye anaangaika kuweka maisha sawa...na Serengeti boys anaeshinda kupiga chuma na kucheza pool table tuu...
 
kama hauna mvuto hilo 1 inatosha
A%20S%20109.gif
 
1. chips, mayai na kuku wa maboksi.
2. Pombe (pombe inatia hamasa, lakini inaua nguvu)
3. mafuta ya kupikia - tumia alizeti ukiweza.
4. stress
5. magonjwa kama kisukari, etc.
 
Kwa hali hii mke wako akikusaliti hata usimlaumu!!!

Aaagh mndengereko unaniaibisha bhana hapo nimesema demu mzigo unamtoa povu anamwaga yeye hadi climax tano kabla hata sijafikisha nusu round sasa asaliti nini wakati dude la ndani lenyewe linamtapisha mfulizo?!!!
 
Aaagh mndengereko unaniaibisha bhana hapo nimesema demu mzigo unamtoa povu anamwaga yeye hadi climax tano kabla hata sijafikisha nusu round sasa asaliti nini wakati dude la ndani lenyewe linamtapisha mfulizo?!!!
ahahaa hapo sawa nilikuwa sijakusoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom