Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.

Ila wachaga mnaliaga au unafata mkumbo tu [emoji23][emoji23]
 
He he he he eeeeee
Sababu Yako Wewe Ya Kulia NI Ipi KAti Ya Hizo Juuu????????😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Duh mimi nadhani nikikutana na mwanamke anayelia navaa nguo zangu naondoka, mwanamke mzuri ni yule anayetoa miguno ya kimahaba (moarn). Kilio ni soo, unaweza ukagongewa na majirani wakifikiri ni msiba au ukaletewa polisi wakijua unampa knuckles mtoto wa watu.
 
Hahaaaaaaaaaa,,, ipigwe kazi hasaaaa!!!!

Penda xaanaa
 
hahahahahahaha ni hiyo miguno wanaongelea mkuu
 

Tumekuelewa mtetezi wao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…