Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
Umeongea kweli tupu...hakuna swali sipendi kuulizwa kama vipi umefika?[emoji36] [emoji36] [emoji36]
Yaan ndio shida ya mtu asiyejiamini alichokifanya.

Yaan ni sawa sawa na Mcheza mpira kapiga mpira golini then kaona mpira umetoka nje ya goli alafu anamuuliza goalkeeper kuwa amefunga au hajafunga.

Goli likiingia si linaonekana kabisa jmn au ni yale magoli yenye utata yanayohitaji vipimo vya kisayansi
 
We jamaa kweli ni fundi mwenzangu, umemaliza kila kitu!!
 
Kwa maneno haya miss chagga nishakufahamu...


CC: Kasinde
 
Mh!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hahah mama klaree kama ukipata kitochi before game utalia kweli? Ama ni kulia ili tuache pesa ya kitochi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…