Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
MH🙄
 
Wanaolia ukienda nao ukweni nyumba isiyo na dari inabidi msikwichikwichi
 
[emoji2]
 
[emoji12] [emoji12] miss chaga banah
 
Inategemea mkuu. Kuna muda nalia kwa raha ila kuna muda nalia nikiwa na mwanaume asiejua kitu kitandani. Huwa nalia nikimkumbuka ex bf wangu anavyojuaga game halafu mimi hipo kitandani na mwanaume hata hajui kunifanya nijisikie mwanamke halafu nikiwaza saa hizi atakua na mwanamke mwingine anampa zile raha. Huwa nalia kilio cha uchungu kabisa. Kuna kaka alienda jisifia kwa rafiki yake eti ye anajua sana game ndo maana anapendwa. Akamwambia muulize fulani yani mpaka alilia. Alijua nalia sababu anafanya vizuri kumbe mi nlikua nalia ananichosha tu.
 
Umesahau moja... Ukiwa unagegedwa afu unajua hako ka mchezo ndo kmekufanya kuwa single mother
 
Hiyo list tunaweza kuhakiki
 
Umesahau moja... Ukiwa unagegedwa afu unajua hako ka mchezo ndo kmekufanya kuwa single mother

Hahahahaahhaaa.. bahati mbaya sana toka nimekua single mom sijawahi kugegedwa labda ntalia tena. Ila siwez kulia sababu nimekua single mom chief,.ule mchezo na mie kuwa single mom havifanani kabisa. Kuwa mama ni raha eti na ule mchezo ni raha pia sasa chozi litokee wapi.
 
Ukitaka kujua kama lia yake ni ya kweli au la, akilia na wewe lia (ya uongo) halafu mtazame usoni, utajua kama ni ya uongo au la.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…