Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
Tema mate chini km hujakutana na wasuguaji haswaaa usiseme hivyo
Mbutananga wapi hao hembu fanya utafiti pitia bar zote za dar zimejaa kuanzia jumatatu siku za mwisho wa wiki ndio usiseme halafu anywe pombe zake atoke hapo saa nne au saa tano weweee acha kabisa huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja wa kwanza pombe pili mke uliyemwacha nyumbani unamrudia saa sita za usiku wanaume wa dar mbwembwe tu.
 
Natamani siku moja nikuone japo sura
 
Daahh nimebidi nicheke tu maana sijajua nipo kundi lipi hapo
 
Tanzania ya viwanda[emoji40]........comeback jesus
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wese likate?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…