Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Unaweza ambiwa wewe kicheche but haujaoneka na mabinti wala nini.Sasa najuiliza nini hasa kinachofanya man uonekane kicheche?
Matumizi yasiyo sahihi na halali ya mgegedo wake!!
Hahahahah matumizi halali ni yapi hasa?
Ukiwa unatongoza sana Wanawake bila kuwahonga..
Ukihonga hakuna shida?
Matumizi yasiyo sahihi na halali ya mgegedo wake!!
Maongezi yako
Kwenye maongezi kuweka mbele kutaka kugegeda
Wengine anakua kicheche huenda anakutana na maswiming pool...loading error...