Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 579
- 887
WanaJF nimemfuatilia Mwigulu toka aingie wizara ya fedha hadi kwenye mjadala wa Katiba naona matamko na misimamo yake imekuwa positive yenye kujenga na ya kisomi zaidi kuliko uhafidhina aliokuwa nao awali hivi ni nini kimembadilisha?Kwa Mfano nimemsikia kwenye Bajeti 2014/15 akiwabana Matajiri bila woga kwenye kodi na kwenye Bunge la Katiba nimemsikia akipinga Wabunge waliotaka kupandishiwa posho na sasa anapinga suala la Bunge la Katiba kwenda kuteketeza hela za wananchi bila maridhiano ili kupata theluthi mbili,Nini kimembadilisha Mwigulu?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
kuna mtu nyuma yake , hata hivyo ni mwanasiasa anayeongoza kwa KUCHUKIWA nchi nzima , kwa vile mambo yake yote maovu yamejulikana .
Ni kweli mkuu siasa za Mwigulu ni za kutumia nguvu kama Makirikiri na propaganda chafu za kigaidi ndo maana anachukiwa na wengi. Jana katengeneza mchezo wa kuigiza na kijana mmoja uwanja wa Taifa aonekane anapendwa kwa kuruka ukuta na kumdaka mwigulu eti ndo tumaini la watanzania hata kwa urais. Full comedykuna mtu nyuma yake , hata hivyo ni mwanasiasa anayeongoza kwa KUCHUKIWA nchi nzima , kwa vile mambo yake yote maovu yamejulikana .
WanaJF nimemfuatilia Mwigulu toka aingie wizara ya fedha hadi kwenye mjadala wa Katiba naona matamko na misimamo yake imekuwa positive yenye kujenga na ya kisomi zaidi kuliko uhafidhina aliokuwa nao awali hivi ni nini kimembadilisha?Kwa Mfano nimemsikia kwenye Bajeti 2014/15 akiwabana Matajiri bila woga kwenye kodi na kwenye Bunge la Katiba nimemsikia akipinga Wabunge waliotaka kupandishiwa posho na sasa anapinga suala la Bunge la Katiba kwenda kuteketeza hela za wananchi bila maridhiano ili kupata theluthi mbili,Nini kimembadilisha Mwigulu?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mwachenii, nihulka yakutaka kujisafisha. Alafu pia ni mtu alie kua anatamani nafasi kama hiyo alio ipata.
Mbwa mwenye njaa hukulupuka akiskia tu sauti ya mluzi anahisi bosi wake anamuita, ila akishiba hadi umuite jina.
anachukiwa kama lichama alilopo ccm, kwa hiyo kila mtu anajua kwa pango la apanya, hakujawahi kutokea panya mwema hata siku moja. Kuna watu wanaumizwa sana na utawala wa ccm na dhuluma zake zikifuatiwa na utawala mbovu. Kuna jamaa aliniambia wazi wazi kuwa akiona rangi ya ccm anaamini ni wezi tu wanaohitajika magerezani, alisema huwa anatamani kuhara na kutapika akiisikia ccm ikitajwa kwa lo lote.. . Mtu kama huyo nahisi ukimweka kichakani peke yake na mtu wa ccm bila shuhuda, kifuatacho chaweza kuwa matangazo ya tanzia....!
naamini kuna skendo linakuja kumlipukia huyu mwingulu, hivyo anajaribu kupata huruma ya jamii mapema ili hata hilo skendo likija kulipuka watu waseme amebambikiwa na wabaya wake kutokana na utendaji kazi bora alio nao!.
Hovyoooo kabisa hii kiumbe!
amegundua yeye ndie mwanasiasa alie jenga sana chuki hapa nchini, na pia amejuwa kuwa yeye ndie mwanasiasa asie pendwa kuliko wote hapa nchini.