Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22
Ni hujuma kwa Ruto
Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22
Ni hujuma kwa Ruto
Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
Ni suala la balance of trade, wana import sana kuliko wanavyo export. Demand ya US dollar imepanda sana, sheria za demand and supply zinafanya pesa ya Kenya ishuke thamani.
Ndiyo maana rais Ruto anaongelea sana kuachana na US dollar na kufanya biashara kwa local currencies