The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,214
- 3,352
unguja ndiyo ilikua ngome ya ccm lakin kwa uchaguz wa mwaka huu hali imegeuka kiasi kwamba cuf wameimarika na kutwaa majimbo unguja nini kimekwenda kombo kwa hiki chama sikivu!?
Wanafanya sensa ya wa Zanzibari huku bara,kuna mwenye kujua wanafanya hivyo ili iweje?
unguja ndiyo ilikua ngome ya ccm lakin kwa uchaguz wa mwaka huu hali imegeuka kiasi kwamba cuf wameimarika na kutwaa majimbo unguja nini kimekwenda kombo kwa hiki chama sikivu!?
unguja ndiyo ilikua ngome ya ccm lakin kwa uchaguz wa mwaka huu hali imegeuka kiasi kwamba cuf wameimarika na kutwaa majimbo unguja nini kimekwenda kombo kwa hiki chama sikivu!?
Hadi Jecha anaweka mpira kwapani CUF unguja majimbo 9 Pemba majimbo yote 18.CUF wamechukua mangapi upande wa Unguja maana uchaguzi wa 2010 walikuwa na majimbo mawili huko Unguja
Hadi Jecha anaweka mpira kwapani CUF unguja majimbo 9 Pemba majimbo yote 18.
jumla yapo majimbo mangapi huko unguja?
Hata mechi ikirudiwa matokeo hayatakuwa mazuri. Tena nadhani wana CCM wa ZNZ wengi watakuwa wamekasirishwa na maigizo haya nakuipigia kura CUF.
Hata Lubuva hatakiwi ni wale wale tu, kinachotakiwa Jecha amalizie kutangaza na mshindi apatikane.CUF huwa wanachukua majimbo 2 na Maalim seif anapata 49% ya kura zote,unadhani Jecha angefanya nini kwa CUF kupata 9 unguja na yote 18 Pemba.
Jecha kazi imemshinda LUBUVA ahusike 2nd leg.