Nini kinahitajika kupata visa ya Canada?

Yeye kaniambia ata accommodate kila kitu , baada ya mm kufika kule, je kuna haja ya kuwa na bank statement??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli, mimi Canada nimealikwa tu, hizo nchi zingine sina mwenyeji

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yeye kaniambia ata accommodate kila kitu , baada ya mm kufika kule, je kuna haja ya kuwa na bank statement??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama yeye ata accomodate kila kitu ukifika kule bas yy anatakiwa kuprove financial stability yake kama ataweza then anakukatia ticket na kila kitu yeye?
Ww unajihisisha na nini hapa Tz?
Km unafanya kaz au biashara jitahid uweke statement hata yenye hela kias wakuone una kitu angalau maana ukionekana mchov kabsa watajua ww mzamiaj unaenda tafta maisha
So ushaur hata km jamaa atalipia kila kitu onesha hata uwezo unao kidogo as una kitu unafanya hapa kama ni kazi au biashara mkuu
 
Wakuu, habari.

Kuna mtu amenialika Canada, yeye ni mwenyeji wa huko. Sasa, naomba kufahamishwa requirements zipi nahitajika kuwa nazo ili kupata visa ya Canada.

Thanks, karibuni.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama umealikwa yeye ndo.angepaswa kukurleza yote hayo. Hapa utaambulia matusi tu
 
Hivi kama huna hati ya kiwanja/Viwanja ila una zile "offer form/acknowledgement form" kutoka jiji inaweza kusimama badala ya hati? na wakaikubali?
 
Mkuu hapo Sweden natamani kufika nina tsh 3.5Million sina docomaa yeyote naweza kufika? Nisaidie tafadhali

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye suala.la bank statement huwa wanaenda hadi bank kuuliza kama kweli kuna icho kias? Maana mimi ni mtaalam wa ku fake docomaa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, habari.

Kuna mtu amenialika Canada, yeye ni mwenyeji wa huko. Sasa, naomba kufahamishwa requirements zipi nahitajika kuwa nazo ili kupata visa ya Canada.

Thanks, karibuni.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Humu ndani mtaalamu wa mambo ya Visa ni Kiduku Lilo
Ni vyema ukamfuata akakujuza kwa undani
 
Wakuu, habari.

Kuna mtu amenialika Canada, yeye ni mwenyeji wa huko. Sasa, naomba kufahamishwa requirements zipi nahitajika kuwa nazo ili kupata visa ya Canada.

Thanks, karibuni.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo aliyekualika, kwa kuwa yuko huko tayari, si ndiye angeulizia huko huko kwamba kuna mtu nataka aje kunitembelea, afanyaje kupata visa? Maelekezo ya humu JF hayatakuwa kamilifu kama atakayoyapata anayeulizia huko huko.
 
VIPI WADAU, KUNA YEYOTE MWINGINE ALIYEFANIKIWA KUPATA VISA YA CANADA NA SOUTH KOREA
 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…