Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?



Ma-snitch tls wamewaambia Word Bank wailipe kumkomoa Raisi wetu!
 
Ma-snitch tls wamewaambia Word Bank wailipe kumkomoa Raisi wetu!

World Bank hawafanyii kazi kwa kukomoa bali procedures na masharti
It’s so unfortunate kama tunanyimwa pesa kwa kushindwa kulipa watu fidia ambapo pengine tungetumia BILIONI 30 maximum
Kwenye miradi yote issue za fidiaa huwa ni jukumu la host kuna miradi mingi pia huko nyuma tumeikosa kwa ajili ya uzembe mfano mradi wa kujenga pale Bandarini nyuma ya saba saba ulihamishiwa Ethiopia
 
Pesa. Si umesikia kwenye report ya CAG, TRA wanatudanganya kwenye makusanyo. Wamedanganya makusanyo ya 2 .2 trilioni. Makusanyo hewa hayawezi kutumika kutekeleza mipango.
 


!
!
Niwaombe wizara ya miundombinu na wakandarasi simamieni mradi ukamilike. Sioni sababu mradi huu ukachukua mpaka miezi 30, wakati kuna usiku na kuna mchana. Hakuna sheria duniani inayokataza kufanya kazi usiku, angalau basi miezi 20.


Pia Kwenye Hiyo Article Alinukuliwa Akisema Fedha Zipo, Sasaaa
 
World Bank wamejitoa kufinance mradi wa kujenga interchange sasa hivi tunajenga kwa pesa yetu na ndo maana badala ya interchange inakua flyover.
 
Wazungu wamefungia hela zao baada ya kuona mnawavunjia hadi wasio na hatia. Wao wana moyo wa nyama...wameshindwa kuvumilia wameamua wale tu pesa yao kuliko kuwapa nyie and now imebaki story tu
 
Kulikua na architectural na structural adjustment due to the availability of land for project execution due to both political and social reasons.
Soon unaanza
 
Kwani huo mradi unagharimu kiasi gani, kumbuka tuna 1.5 t kama kianzio na mwizi akirudisha(assumption ziweibwa na siyo kutojulikama)
 
Ndugu hivi mpka leo hujajua tuna rais msanii na muongo?
 
World Bank wamejitoa kufinance mradi wa kujenga interchange sasa hivi tunajenga kwa pesa yetu na ndo maana badala ya interchange inakua flyover.
Wewe unajua maana ya inter change? Hahahahahaha....
 
Tunasubiria kuiba 3 trilllion mwaka wa fedha 2018,2019 tumalizie ujenzi,ovaaaa
 
Mnakujaga na taarifa zenu za ajabu hivohivo baadae mnaumbuliwa mnabaki kutafuta maneno mengine aibu zitawaandama sana kipindi hiki ....Magu fanyakazi haya maneno ya hawa watu tumeshayoazoea hiki ni kipindi cha kazi tu maneno baadae
 
Kunawatu walivyo umbwa huwa wanashangilia kushindwa kwa mtu mwingine, hata kama hawafaidiki na kushindwa kwa hyo mtu...

Hii si tabia nzuri.
.
 
Kazi za ujenzi huendaga taratibu, baada ya muda ndo utaiona structure halisi. Hata TAZARA ilianza hivi hivi na sasa inaelekea kukamilika, subira men.
 
Hela watu waliungia Mkono viwanda!
 
Kawabomolea nyumba wakazi wa kimara unadhani atapona. Sasa hivi hata akitubu atakuwa anajisumbua tu. Huoni hata kuzindua kumepungua.

Bring beck our money
Nimekamilisha banda langu la kuku, nadhani jiwe atakuja kulizindua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…