D
Kwani ile mahakama ya mauaji ya kimbari yaHao wako katika mahakama ya icc wanyarwanda hao.
Kwani mahakama ya mauwaji ya kimbari ya Rwanda haijaisha muda wake? Mi nilifikiri ishafungwa siku nyingi
Swissme
ICTR ilikwisha maliza muda wake tangu 31st December 2015! Hata baadhi ya shughuli zimepungua sana Arusha!Hao wako katika mahakama ya icc wanyarwanda hao.katika mauwaji ya kimbali
Swissme
haha umetokea nakapanya nini mkuu?
ni wale wafungwa wa ugaidi huwa wanaletwa kwa mtindo huo
Halafu kwakupenda sifa kwa mambo ya namna hiyo wako juu ulinzi wa wananchi na mali zao upo ziroGreetings!
Katika pilika pilika zangu za maisha, nimejikuta nipo mkoani Arusha hapa Arusha Mjini. Nilichokiona leo katika hii barabara ya uhuru muda wa asubuhi ni magari ya polisi na yale ya magereza yakiwa yametokea katika gereza la Kisonga kuelekea Mahakamani yakiwa na Askari waliobeba SILAHA NZITO NZITO na Basi kubwa la Wafungwa likiongozwa na ving'ora vya Polisi kupeleka wafungwa mahakamani kiasi kwamba ya kuzuia njia magari mengine yasipite utafikiri labda ni Msafara wa RAIS au W/Mkuu kumbe wafungwa.
Naomba kujua juu ya ulinzi mkali uliokuwepo pale mahakamani na barabarani siku ya leo, juu ya hawa wafungwa? Ni mahabusu wanaokabliwa na kesi gani kubwa hapa mkoani ARUSHA?
Mliopo ARUSHA TUNAOMBA MTUJUZE TAFADHALI...!
Nawasilisha
mkuu,hujui kua Arusha kuna mahakama ya Africa?ASANTE KWA KUNIJUZA...NIPE MATUKIO YA UGAIDI YALIYOWAHI KUFANYIKA ARUSHA...ACHILIA MBALI BOMU LA KANISA LA RC - OLASITI?.......