Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,911
Kuhusu line ya simu nimesajili miaka mingi sana enzi hizo tunasajili simu ofisini, namba yangu ni.0784 ....... na haiko diverted anywhere. NHiyo simu wame direct kwenda number nyingine.....ni either ndugu yako au rafik yko ali direct iyo simu yako au wale watu wanao uza line za simu mitaani
Sasa kutoa divert call piga *62#
Kama kuna number wame direct itatoka
Mitandao ya simu sio rahisi kukusikiliza wewe ni vijana tu wa mtaani wanataka kukupiga
Hata mi imeshanitokea kama mara 4.Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.
Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba hii.
Leo hii saa nne na dakika 21 nimepiga simu kuuliza nauli ya basi kutoka Musoma kwenda Arusha kwa njia zote mbili kwa maana ya Musoma via Serengeti na Musoma via Singida baada tu ya kukata simu saa 10:38 meseji kaingia kwamba hiyo hela tuma kwa Airtel 0698 338 2** Jina BEATRICE KAKUSA. Namba iliyotuma SMS 0697 160 5**. Ajabu mimi pia natumia airtel.
Siku ya jumanne tarehe 4/06/2024 saa nne dakika 35 niliongea na mama yangu ambaye yuko kijijini zilikuwa zinahitajika kutoa kiasi fulani cha hela kwa ajili ya kulipia kibali cha kuhamisha ngómbe toka kata moja kwenda nyingine, ambapo kwa kila ngómbe mmoja ilhitajika shilingi elfu 5.
Ile namaliza tu kuongea na mama saa 4 na dakika 40 meseji ikaingia hiyo hela tuma kwenye namba hii 06987234** jina litakuja Ester Kalinga namba iliyotuma sms 0616 894 5**.
Kutokana na hiyo mifano je niendelee kuamini kuwa hawa watu wabahatisha au Airtel ina watu wanasikiliza mawasiliano yetu na kuwapa matapeli taarifa? Hii tume ya kulinda taarifa ipo kweli na kazi zake ni zipi.
Mimi situmagi hela kwa jina la mtu kama unataka tufanye malipo kwa simu lazima simu isome jina lako au mhusika aende kwa wakala anipe code ya wakala nimtolee hela apokee cash yakeJe ulituma ama ulipiga tena kuhakiki
Jamii kwa nini mnaficha namba za matepeli mimi nimeziweka hadharani ninyi mnaficha kwa nini?Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.
Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba hii.
Leo hii saa nne na dakika 21 nimepiga simu kuuliza nauli ya basi kutoka Musoma kwenda Arusha kwa njia zote mbili kwa maana ya Musoma via Serengeti na Musoma via Singida baada tu ya kukata simu saa 10:38 meseji kaingia kwamba hiyo hela tuma kwa Airtel 0698 338 2** Jina BEATRICE KAKUSA. Namba iliyotuma SMS 0697 160 5**. Ajabu mimi pia natumia airtel.
Siku ya jumanne tarehe 4/06/2024 saa nne dakika 35 niliongea na mama yangu ambaye yuko kijijini zilikuwa zinahitajika kutoa kiasi fulani cha hela kwa ajili ya kulipia kibali cha kuhamisha ngómbe toka kata moja kwenda nyingine, ambapo kwa kila ngómbe mmoja ilhitajika shilingi elfu 5.
Ile namaliza tu kuongea na mama saa 4 na dakika 40 meseji ikaingia hiyo hela tuma kwenye namba hii 06987234** jina litakuja Ester Kalinga namba iliyotuma sms 0616 894 5**.
Kutokana na hiyo mifano je niendelee kuamini kuwa hawa watu wabahatisha au Airtel ina watu wanasikiliza mawasiliano yetu na kuwapa matapeli taarifa? Hii tume ya kulinda taarifa ipo kweli na kazi zake ni zipi.
Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.

Tambua tu kwamba Mawasiliano yako yote unayofanya humu mtandaoni huwa yanasikilizwa na kurekodiwa. Hakuna Siri kwenye hii mitandao.Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.
Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba hii.
Leo hii saa nne na dakika 21 nimepiga simu kuuliza nauli ya basi kutoka Musoma kwenda Arusha kwa njia zote mbili kwa maana ya Musoma via Serengeti na Musoma via Singida baada tu ya kukata simu saa 10:38 meseji kaingia kwamba hiyo hela tuma kwa Airtel 0698 338 2** Jina BEATRICE KAKUSA. Namba iliyotuma SMS 0697 160 5**. Ajabu mimi pia natumia airtel.
Siku ya jumanne tarehe 4/06/2024 saa nne dakika 35 niliongea na mama yangu ambaye yuko kijijini zilikuwa zinahitajika kutoa kiasi fulani cha hela kwa ajili ya kulipia kibali cha kuhamisha ngómbe toka kata moja kwenda nyingine, ambapo kwa kila ngómbe mmoja ilhitajika shilingi elfu 5.
Ile namaliza tu kuongea na mama saa 4 na dakika 40 meseji ikaingia hiyo hela tuma kwenye namba hii 06987234** jina litakuja Ester Kalinga namba iliyotuma sms 0616 894 5**.
Kutokana na hiyo mifano je niendelee kuamini kuwa hawa watu wabahatisha au Airtel ina watu wanasikiliza mawasiliano yetu na kuwapa matapeli taarifa? Hii tume ya kulinda taarifa ipo kweli na kazi zake ni zipi.
Inawezekana Namba yako ikawa diverted or hacked kwa namna fulani, ila wewe huenda hujui.Kuhusu line ya simu nimesajili miaka mingi sana enzi hizo tunasajili simu ofisini, namba yangu ni.0784 ....... na haiko diverted anywhere. N
Divert sikuiz haifanyi kazi simu ikiwa hewani.Hiyo simu wame direct kwenda number nyingine.....ni either ndugu yako au rafik yko ali direct iyo simu yako au wale watu wanao uza line za simu mitaani
Sasa kutoa divert call piga *62#
Kama kuna number wame direct itatoka
Mitandao ya simu sio rahisi kukusikiliza wewe ni vijana tu wa mtaani wanataka kukupiga
Inafanya kazi,line ninayotumia muda huu ipo diverted karibu kila siku.Divert sikuiz haifanyi kazi simu ikiwa hewani.