Nini kinaendelea juu ya status view za whatsapp

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
606
1,005
Wadau polen na majukum

Mada inajieleza ,naona wimbi la watu wengi wanakuja inabox na kutaka kuwa marafiki kwa nia ya kuview status

Hebu naomba tupeane elimu humu mana najua kuna cha ziada mana ninavojua status zilikuwepo mda lakn wimb la watu kutaka urafiki na kukutaka uview status zake limekuwa kubwa

Nimeona nililete hapa ili tujuzane nn kinaendelea na kama ni ishu ya kupiga mpunga bas tupeane elim ni jins gan unaweza piga

Naomba kuwasilisha
 
Ni hilo tu au kuna lingine?
Sehemu ya status inatumika kwa mambo mengi tu kuweka habari mbalimbali za kuburudisha, kuelimisha pamoja matangazo ya biashara.
Mbona nyuma hapo watu hawakuwa na hii morali?
Hawakujua kama kwenye status unaweza kutangaza biashara
Hii nguvu imetoka wapi?

Baada ya kujua umuhimu wa status kwenye kutangaza biashara
 
Sehemu ya status inatumika kwa mambo mengi tu kuweka habari mbalimbali za kuburudisha, kuelimisha pamoja matangazo ya biashara.Hawakujua kama kwenye status unaweza kutangaza biashara

Baada ya kujua umuhimu wa status kwenye kutangaza biashara
kaka naona umemaliza kila kitu,big up sn na ubarikiwe
 
Wana vimichezo vyao vinaitwa mula empire sijui....kupata hela online. Anapata kulingana na watu aliowashawishi.

Wengine ni wafanya biashara, wanatangaza biashara zao.
 
Mm mtu akinitumia hiyo najua anataka kuniibia na mlock ,kumbe si vijana wa kitapeli?
 
Wana vimichezo vyao vinaitwa mula empire sijui....kupata hela online. Anapata kulingana na watu aliowashawishi.

Wengine ni wafanya biashara, wanatangaza biashara zao.
daaa kaka vip hio mula empire inakuwaje aiseee,mana kama ni biashara mi najua status zilikuwepo mda sn na hakukuwa na lolote lkn nilijua kuna cha ziada katika hizo status

Hebu tufatilie zaid tujue nn kinajili mana naona wengi wanaongelea zaid biashara lkn ww kuna kitu umegusa cha muhim ambacho nadhan hata mm nilikua nakifikiri
 
Mkuu mimi mwenyewe mbali na kuviskia sijavifuatilia sana.
Nadhani ungetumia google.
 
Ni biashara unaweza vutika na status za bidhaa zao au matangazo ya kazi n.k

Cha msingi ni kua makini tu na kutumia muda na akili yako vizuri..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom